Bilionea Al Fahim awa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon Tanzania

hawa wenzetu wako profit max ; port mouth alishaona anatoteza pesa zake; jua ulaya kuandika na magazine jua wameshafanya utafiti wa kutosha .
I wish was good people
 
Kama hii habari ni ya kweli, na Sheikh Al Fahim kama atakuwa committed basi Africa Lyon itafika mbali.
 
Haiingii akilini,mtu mwenye uwezo wakununua timu ulaya aje kuwa mkiti wa timu ya vpl,wale waliomleta malkia iliishia wapi kwani?
 
Lazima ikumbuke kuwa hilo ni tawi la timu kubwa, ikibisha inashuka.

Timu kubwa inahaha kuokoa matawi yake ya Tanga na Mwanza.

Kwa soka la namna hii sitatajii kitu kigeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…