Bilionea Al Fahim awa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon Tanzania

Bilionea Al Fahim awa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon Tanzania

Hahaha. Sulaiman Al fahim ni tapeli wa kimataifa na alishaumbuliwa na magazeti mbalimbali wakati ule alipojifanya kutaka kununua portsmouth na man City. Na hata Doctorate yake ni feki kama ya mwenyekiti wa makampuni ya nanihii. Kazi yake ni kuchukua miradi na kwenda kukopea kwingine. Kwanza alijifanya anataka kununua man city kumbe alikuwa dalali wa matajiri wa Abu dhabi. Baadae akatumia umaarufu feki kujifanya anataka kununua portsmouth, hakulipa cash, bali alitaka kwenda kukopa ndipo amalizie, benki zikamnyima mkopo na matokeo yake akashindwa hata kulipa mishahara ikabidi aiteme! Hawa african Lyon wakae chonjo huyu ni jack pemba wa kiarabu!

"Mr. Fahim has made it clear that he prefers the honorific Dr. — or Doc, to his friends — in deference to the Ph.D. in real estate investment he says he received from the Kogod School of Business at American University in Washington.
Records at American University show that Mr. Fahim was awarded an M.B.A., but there is no record of him receiving a doctorate there — the university does not even offer an advanced degree in real estate."

source: http://www.nytimes.com/2009/06/09/business/global/09property.html?_r=0

hawa wenzetu wako profit max ; port mouth alishaona anatoteza pesa zake; jua ulaya kuandika na magazine jua wameshafanya utafiti wa kutosha .
I wish was good people
 
Kama hii habari ni ya kweli, na Sheikh Al Fahim kama atakuwa committed basi Africa Lyon itafika mbali.
 
Haiingii akilini,mtu mwenye uwezo wakununua timu ulaya aje kuwa mkiti wa timu ya vpl,wale waliomleta malkia iliishia wapi kwani?
 
Lazima ikumbuke kuwa hilo ni tawi la timu kubwa, ikibisha inashuka.

Timu kubwa inahaha kuokoa matawi yake ya Tanga na Mwanza.

Kwa soka la namna hii sitatajii kitu kigeni
 
Back
Top Bottom