Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Nasikia Mo anaileta man city bongo,, na watacheza na Simba mabingwa ambao hawajapoteza mchezo hata m1 kama barca
Simbaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Mo anaileta man city bongo,, na watacheza na Simba mabingwa ambao hawajapoteza mchezo hata m1 kama barca
Kina nani hao wamekuulia ndugu zako? Wachezaji wa Mamelodi Sundowns au??Kumbe na wewe ni msauzi eti? Siku hiyo nitakuwa upande wa Barcelona but sio kwa Racism waliotuulia ndugu zetu
Kina nani hao wamekuulia ndugu zako? Wachezaji wa Mamelodi Sundowns au??
Sawa mkuuUmesahau mauwaji dhidi ya wageni? Nitakuwa upande wa Barcelona