toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Yeah thats true, dude been hanging with billionaires for more tha 50 years, what a blessing, let him rest in peace..Mkuu the universe is connected right now, au uli penda aondoke Nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah thats true, dude been hanging with billionaires for more tha 50 years, what a blessing, let him rest in peace..Mkuu the universe is connected right now, au uli penda aondoke Nani??
Wafanye mpango aende nazo basiNadhani Mwaka 2023 ndio tumeshuhudia vifo vya watu wengi mashuhuri.
Iwe kwenye michezo, siasa na Sasa kwenye anga ya biashara.
Ambapo siku ya Jana kulitokea kifo Cha mfanyabiashara mashuhuri Charlie Munger.
===
Warren Buffett's trusted confidante Charlie Munger died on Tuesday at age 99, leaving a void at Berkshire Hathaway (BRKa.N)that investors said would be impossible to fill despite the conglomerate's well-established succession plan.
Berkshire said Munger died peacefully at a hospital in California, where he lived. No cause was given. Munger would have turned 100 on Jan. 1.
"Berkshire Hathaway could not have been built to its present status without Charlie's inspiration, wisdom and participation," Buffett, Berkshire's 93-year-old chairman and chief executive, said in a statement.
View attachment 2828527
Sawa, no hate- ila Hakuna ushujaa katika Umasikini.Wafanye mpango aende nazo basi
Yap, we better pull shoe strings wellYeah thats true, dude been hanging with billionaires for more tha 50 years, what a blessing, let him rest in peace..
Nope wenzetu Wana utaratibu sahihi, beside best yake Warren yupo so ata waongoza.Alazwe mahali pema peponi. Ni muda sasa wa familia kuteua msimamizi wa mirathi. Itakuwa simanzi kuona wanandugu wanaanza kugombea mali za marehemu.
Yeah man pull that “Royal Flush”…Yap, we better pull shoe strings well
Kuna sehemu nimeona kama wamesema alishachgua successor, sa sijui kweli…Alazwe mahali pema peponi. Ni muda sasa wa familia kuteua msimamizi wa mirathi. Itakuwa simanzi kuona wanandugu wanaanza kugombea mali za marehemu.
I got yah dude, Ume nikumbusha poker games.Yeah man pull that “Royal Flush”…
Na matunzo pia,Miaka 99,kala chamvi nyingi.
Ahahaha yaaah noma the biggest hand in poker, namfuatiaga sana Dan Bilzerian na kitabu chake cha the setup nimekisoma twice, wenzetu wanauchungu sana na hela aisee acha kabisaaI got yah dude, Ume nikumbusha poker games.
Wee umezoea kuliibia kanisa sadaka.Amefariki akiwa na miaka 90.
Good for him.
Mwenyenzi amrehemu.
Umasikini ndo chanzo cha matatizo yote dunianiSawa, no hate- ila Hakuna ushujaa katika Umasikini.
Uki pata muda tazama series ya breaking bad, prison break, na big mouth ya kikorea.Ahahaha yaaah noma the biggest hand in poker, namfuatiaga sana Dan Bilzerian na kitabu chake cha the setup nimekisoma twice, wenzetu wanauchungu sana na hela aisee acha kabisaa
Yap mzee, bila hela no matibabu, no school fees.Umasikini ndo chanzo cha matatizo yote duniani
munga ni wachaga wa wapi? Marangu au Machame