Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #61
Yeah, sema succession plan nzuri ni ya bakhresa na dewji familyWenzetu wana succession plan ya kueleweka na Nchi zilizoendelea huziangalia kwa ukaribu kampuni ambazo zina impact kubwa kwenye nchi yao.
Kwa Tanzania mzee Mengi alijitahidi
Ina sikitisha, Kikubwa tuzidi kusaka chapaa.Watu wana kufa peaceful. Uku Africa tuna kufa kwa taabu uku bado tuna ishi
Yaah hao watu wawili wana misingi mizuri sanaa from foundation na wapo vzuri kuiendeleza kwa kila kizaziYeah, sema succession plan nzuri ni ya bakhresa na dewji family
Cha ajabu inawezekana HAAMINI MUNGUAmefariki akiwa na miaka 90.
Good for him.
Mwenyenzi amrehemu.
Mkuu hizo ni personal interest za mtu, beside ni mkristu Safi tu
Yeah, tukaze buti na sisi.Yaah hao watu wawili wana misingi mizuri sanaa from foundation na wapo vzuri kuiendeleza kwa kila kizazi
Ka BUNDI kwa sura yake,..ila kunawatu walikuwa wanamwita baby!Nadhani Mwaka 2023 ndio tumeshuhudia vifo vya watu wengi mashuhuri.
Iwe kwenye michezo, siasa na Sasa kwenye anga ya biashara.
Ambapo siku ya Jana kulitokea kifo Cha mfanyabiashara mashuhuri Charlie Munger.
===
Warren Buffett's trusted confidante Charlie Munger died on Tuesday at age 99, leaving a void at Berkshire Hathaway (BRKa.N)that investors said would be impossible to fill despite the conglomerate's well-established succession plan.
Berkshire said Munger died peacefully at a hospital in California, where he lived. No cause was given. Munger would have turned 100 on Jan. 1.
"Berkshire Hathaway could not have been built to its present status without Charlie's inspiration, wisdom and participation," Buffett, Berkshire's 93-year-old chairman and chief executive, said in a statement.
View attachment 2828527
Samahani mkuu, uli tegemea mzee wa miaka 99 aonekane vipi??Ka BUNDI kwa sura yake,..ila kunawatu walikuwa wanamwita baby!
Nina Imani akanibadilisha mindset mno ,nampata mno,huyo na rafikiye,Petr Lynch, Benjamin Graham,jp Morgan ,mpaka Leo tunatumia elimu yao. Kikubwa tuache masomo ambayo hayatasahaulika pindi tunapotoweka kimwili dunianikeisangora una mpata huyu??
A true and definitive legacy 💪Nina Imani akanibadilisha mindset mno ,nampata mno,huyo na rafikiye,Petr Lynch, Benjamin Graham,jp Morgan ,mpaka Leo tunatumia elimu yao. Kikubwa tuache masomo ambayo hayatasahaulika pindi tunapotoweka kimwili duniani
Subiria Kwanza mpaka CCM impate Katibu Mkuu wake mpya badala ya Chongolo. Niko Site.....!!GENTAMYCINE una onaje siku 1, tufanye interview na wewe.
👉It will a big honour to talk with Mr charismatic fella. GENTAMYCINE
Sawa Kaka, ngoja tusubiriSubiria Kwanza mpaka CCM impate Katibu Mkuu wake mpya badala ya Chongolo. Niko Site.....!!
Wao mbele, sisi nyuma🤒Pole yao sana wafiwa...