Tetesi: Bilionea Chief Godlove kuchangia Bilioni 50 kampeni za CCM

Tetesi: Bilionea Chief Godlove kuchangia Bilioni 50 kampeni za CCM

Hizo pesa angechangia shughuli za maendeleo huko kwao kyela ingekuwa jambo la maana sana.otherwise anatafuta kick tu huyo hana lolote.
 
Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
Ila Polepeole ananichefua jamani. Eti tunafanya harambee ya 100B ili kushindana na vikaragosi? au midoli ya CHAUMA?
 
Back
Top Bottom