Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Wanyakyusa walianza kuzijua pesa miaka ya 1950 wakati wakifanya kazi kwenye migodi ya WENELA Afrika Kusini.Mnyakyusa hata akiwa na pesa anaonekana kama JOTI tu. Sijui wanakuaje wale jamaa
Unajua wewe, CCM na huyo Bilionea uchwara, mnatuona kama sisi ni Matako yenu?Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
Hivi huyo kijana anatoa wapi pesa nyingi kiasi hicho?Ngoja awaingize kwenye mfumo wake mbona watajutq sana😄
Msamaha wa kodi ipi? Umewahi sikia huyo mwamba anafanya biashara gani?Anazipeleka CCM si kwa sababu mungu wake ni wa CCM bali kwa sababu zitarudi kupitia msamaha wa kodi.
Mfumo wake....watu wengi hawajui hili.Ngoja awaingize kwenye mfumo wake mbona watajutq sana😄
Yule ataizamisha ccm kuzima na kikwete akiwepo humohumo ndani 😃Hivi huyo kijana anatoa wapi pesa nyingi kiasi hicho?
Anawatafuta kwa spidi Kali sana...na atawapata tu ...walivyo na tamaa vile😂Mfumo wake....watu wengi hawajui hili.
Ku-john i,e Johannesburg.Wanyakyusa walianza kuzijua pesa miaka ya 1950 wakati wakifanya kazi kwenye migodi ya WENELA Afrika Kusini.
Ila Polepeole ananichefua jamani. Eti tunafanya harambee ya 100B ili kushindana na vikaragosi? au midoli ya CHAUMA?Bilionea tokea Pande za Kyela ameahidi kuchangia Chama Chetu kwa 50 b TZS ili kufanikisha kampeni za CCM mwaka huu
KabisaWajinga waliwao
Ova