Mkuu sina shaka na kumiliki timu.. Ila shaka ni kuimiliki timu kariba ya Arsenal, Man U, Liverpool
Libya isomeke EgyptMohamed El Fayeed anamiliki Fulham, na ni mtu kutoka Libya...
Mohamed El Fayeed anamiliki Fulham, na ni mtu kutoka Libya...
Hela itanunia tu
Najua ni mfanyabiashara anayehitaji faida, lakini naona kama angenunua tu klabu moja katika nchi yoyote AFRIKA na aipaishe, mbona TP Mazembe wameweza kupitia yule tajiri Katumba(kama sijakosea jina), Waafrika tujaribu kuvipaisha vya kwetu kwanza.
Mohamed El Fayeed anamiliki Fulham, na ni mtu kutoka Libya...
Mohamed El Fayeed anamiliki Fulham, na ni mtu kutoka Libya...
Mbona mzee aKILI MALI a.k.a Abramovic ukimunulia sofa zenye rangi nyekundu tu tayari ume mmaliza kwani yeye aliiisha sema kuwa furaha yake ni kumkalia mbaya wako, na ndo maana hata nyumbani kwake kaweka kapeti na sofa zenye rangi nyekundu kwa nia kukomoa .na hivyo nafsi yake hutulia.
Dunia ya leo ni pesa inaongea. Wazungu pamoja na ubaguzi wao wamenyiosha mikono kwa fujo za waarabu. Mnigeria aweke pesa ndefu tu mbona timu atapata?
Misri...........Mohamed El Fayeed anamiliki Fulham, na ni mtu kutoka Libya...
Wazungu hawatakuwa tayari kumuuzia Muafrica timu.. It'll be shame to them..
Hawa watu sio binadamu wenzetu kabisa, wana roho za ajabu sana..