RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
tajiri wa kwanza afrika, aliko dangote, amekiri kuwa bado ana mpango wa kuinunua club ya arsenal licha ya kushindwa kufanya hivyo mwaka 2010.
dangote mwenye utajiri wa dola bilioni 15.7 (£10.38bn) anawazidi walimiki wa sasa wa club hiyo, stan kroenke (£3.7bn) na alisher usmanov (£9.65bn).
bado nina matumaini, siku moja kwa bei sahihi kwamba nitainunua timu hiyo, dangote aliiambia bloomberg.
ninaweza kuinunua, si kwa bei ya kijinga lakini kwa bei ambayo wamiliki hawatataka kukataa. Ninajua mbinu zangu.
kwa sasa arsenal ina thamani £1bn, £988m.
kama deal hiyo ikifanikiwa, dangote atakuwa mwaafrika wa kwanza kuwa mmiliki wa timu inayocheza ligi kuu ya england.
chanzo: bongo5.com
=============
African billionaire aliko dangote admits that he remains keen on buying arsenal.
The 58-year-old nigerian, who is worth an estimated £10.3 billion - which makes him africa's richest man - explored the possibility of purchasing the club in 2010 but his approach was rejected.
"i still hope, one day at the right price, that i'll buy the team," dangote told bloomberg business. "i might buy it, not at a ridiculous price but a price that the owners won't want to resist. I know my strategy."
dangote, who has made his fortune through various operations including cement manufacturing, sugar supply and oil investments, says that he will concentrate on expanding his own business before launching a new offer for arsenal.
we have $16bn-worth [£10.5bn] of investments in the next few years. Right now i want to take my own business to a certain level. Once i finish on that trajectory, then maybe [an offer will follow]," he continued.
Dangote is an arsenal fan but has criticised arsene wenger, claiming that the 65-year-old "needs to change his style a bit" and warning that the club "need new direction".
