Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
kuna mjinga mmoja juzi nilimuona EATV habari anawahamasisha watu waende Dodoma kumsindikiza kichaa kichaa akirudisha fomu je nayeye hatakuwa amehamasisha watu kuvunja sheria? kama mnasema CDM imekufa huu uwoga unatokana na nini sasa