TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Socialite kutoka pande za Zimbabwe, ambaye pia ni mfanyabiashara tajiri, Ginimbi, amepata ajali mbaya Siku ya leo na kufariki dunia hapo hapo.

Mfanyabiashara huyo pia alikuwa Karibu na Zari the bosslady, Ginimbi alipata ajali hiyo alipokuwa akielekea kwenye birthday party ya rafiki yake.
IMG_8459.jpg

IMG_8458.jpg

2ECF7C17-3550-465D-8CF0-78D8E749AECD.jpeg

270A340B-2290-4B48-B478-302FCFAC1E73.jpeg
 
That was definitely all 4 of you last party on earth .. enjoy heaven 💔and rest well .. please guys lets stop drinking and driving I saw the stories of two of the females in the car before the crash on ig he was drinking while driving 😩😩

Source:Copy and paste from IG comments
 
kama wanaonanaga uko basi kesha kutana na rafiki yake kipenzi ivan the don maisha haya mafupi sana uwe masikini uwe tajiri, ulale ulipo jichagulia genius a.k.a ginimbi, pole zodwa mkandla kwa kumpoteza mume na baba watoto wako, pole zari kumpoteza shemeji na rafiki mkubwa wa marehemu ivan. rest in eternal peace G.
 
Jana tu usiku naangalia picha yake alizopost amekaa sehemu inaonekana kama jikoni. Nikajisemea tu kweli watu wana hela.. jiko lipo namna hii??
Leo mtu hayupo. Apumzike kwa amani. Kafa kwa mateso sana.
Halafu mauti yamemkuta wakati anarudi siyo anaenda Binamu.
 
Jana tu usiku naangalia picha yake alizopost amekaa sehemu inaonekana kama jikoni. Nikajisemea tu kweli watu wana hela.. jiko lipo namna hii??
Leo mtu hayupo. Apumzike kwa amani. Kafa kwa mateso sana.
Halafu mauti yamemkuta wakati anarudi siyo anaenda Binamu.

Mi niliangalia tu last moment wakat ana flaunt that he is rich n blah blah , little did he know his death was around the corner .. apumzike kwa amani

Watu wamefanya utapeli sana kupitia utajiri wa ginimbi, kila mtu alikua anajidai ndo mganga wa ginimbi aliyemfanya awe Billionare, watu wamepigwa sana pesa , his life was an inspiration to many kwa kwel, the dude has lived the good life , sema dunia sio yetu
 
Back
Top Bottom