Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana mtoto bwana. Huyo Zondwa alikuwa sugarmamy wake. Zondwa ndo ana watoto wakubwa mpaka wajukuu.Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.
HahahahahahI’m so out of touch!
I had no idea who Ginimbi was [emoji1].
Watu wanajua mpaka sugamamy wake ni nani, mkewe ni nani, wanae ni akina nani, wanae wa kufikia ni akina nani, n.k.Labda warumi atuambie huyu alikuwa anajishugulisha na biashara gani?
Ila mm namuona kama mpigaji tu
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanajua mpaka sugamamy wake ni nani, mkewe ni nani, wanae ni akina nani, wanae wa kufikia ni akina nani, n.k.
Si ajabu wanajua hata saizi ya viatu alivyokuwa anavaa..
Hapa ndo inakuja ile hoja, Itakufaidia nini ukipata ulimwengu wote na kupata hasara ya nafsi yako. Inasikitisha sana.Freemasons wanahusika hapa, pole kwao