Pole binamuNimelia sana , ahsante ...
Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.Ni matumaini yangu atakuwa ameacha mke & watoto
Mmmh...😂😂Freemasons wanahusika hapa, pole kwao
Hapo ndo patamuWho is next????
Jana tu usiku naangalia picha yake alizopost amekaa sehemu inaonekana kama jikoni. Nikajisemea tu kweli watu wana hela.. jiko lipo namna hii??
Leo mtu hayupo. Apumzike kwa amani. Kafa kwa mateso sana.
Halafu mauti yamemkuta wakati anarudi siyo anaenda Binamu.