Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Jezi Kali halafu mseme ya mechi za pre season..hayo matusi aise...tunaomba jezi ya kucheza ligi kuu inayokuja basi inatakiwa iwe kali zaidi ya hizi tena mara Saba ama zaidi tofaut na hapo zikiwa hazieleweki mtazirudisha hizi hizi sokoni watu wanunue..
Jezi zinauliziwa kila Kona ya nchi, wekeni sokoni watu wanunue, hata FROGS wameukubali...EEH bwana EEH hii ndio jezi Sasa sio unapewa jezi hutamani hata kuiangalia.
Niwaambie wazi ikija jezi ya hovyo mtazirudisha na hatutaki matangazo mengi kama sisiminzi..hivi hivi kama hii ya pre season.