Kombe gani linalotambulika rasmi mwiko nyuma mnalo simba hana?Kwani jezi ndo zinaleta kombe,
Makombe ya NBCL na FA nayo ni makombe? Jisifu kwa kuleta CL au CC.Kwani jezi ndo zinaleta kombe,
Ajibu hili swali bila kuruka ruka kama maharage.Kombe gani linalotambulika rasmi mwiko nyuma mnalo simba hana?
Umeshirikisha akili kweli, au hata hiyo common sense huna?Kwani jezi ndo zinaleta kombe,