Bilionea Laizer asimzoee sana Millard Ayo na waandishi, akumbuke ya Askofu alipoishia na mabilioni

Bilionea Laizer asimzoee sana Millard Ayo na waandishi, akumbuke ya Askofu alipoishia na mabilioni

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hii ni ushauri kwa aliye karibu na bilionea mpya, Laizer wa Arusha.

Aogope sana maana waandishi wa habari watampamba, watamfurahia mpaka mwisho akiwapa vijisenti wakimtangaza.

Siku akiishiwa huanika kila kitu na kubakia haamini kama ni wale waliokula naye nyama za ng'ombe na kutapakaa.

Namwona kila mara wapo wote, hope wamehamia Arusha kabisa. Kila ukiamka kuangalia taarifa unakutana na mara mke wake, mara mtoto wa Laizer mara nyumba za wake zake.

Nimkumbushe alikuwepo bwana anaitwa Askofu ambaye alinunua hoteli hapo Arusha na timu ya mpira na ni Muarusha.

Ndugu wa karibu fuatilia kilichomtokea mpaka sasa, yupo kama yupo.

Fuatilia yale masheli yake kila kona yaliishia wapi, now wako wanamiliki vijana wadogo.

Waangalie sana waandishi mkuu bilionea, wasikuzoee sana kama familia yako.

Nawatakia la kheri.
 
Kuanguka Kiutajiri kwa Askofu ni Upumbavu na Umalaya wake huyu Laizer ni Habari nyingine Ndugu Maadili yananitaka nisiende mbali na hapa.
UKIENDAMBALI UNAWEZ A MSAIDIA NA HUYU PIA MKUU YASIMKUTE
 
Kuanguka Kiutajiri kwa Askofu ni Upumbavu na Umalaya wake huyu Laizer ni Habari nyingine Ndugu Maadili yananitaka nisiende mbali na hapa.
Mambo ya mererani hayataki mbwembwe mzee. Mbn kna watu Washapiga Hela hzo, Sema Sahv mambo ya kutangazana yanaleta shida

Ova
 
Huyu mmasai hili bilioni 8 haitachukua raundi unajua hela ina watu wake. Hela sio ngo'ombe ina akili zaidi ya ng'ombe.
 
Back
Top Bottom