Bilionea Mbowe, amewekeza Bei Gani sisizo na maandishi CHADEMA?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow!

Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama,

Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu.

Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt, ni pesa kiasi Gani angehitaji kulipwa zilizo kwenye maandishi Ili aachie chama kijiendeshe kitaasisi nje ya usimamizi wake?

Karibuni 🙏
 
Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt, ni pesa kiasi Gani angehitaji kulipa zilizo kwenye maandishi Ili aachie chama kijiendeshe kitaasisi nje ya usimamizi wake?

Karibuni 🙏
Chama cha Familia na Wakwe......milele aminaaaa
 
Hellow!

Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama,

Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu.

Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt, ni pesa kiasi Gani angehitaji kulipwa zilizo kwenye maandishi Ili aachie chama kijiendeshe kitaasisi nje ya usimamizi wake?

Karibuni 🙏
Chadema kuna frusa nyingi sana na siyo kweli kuwa sikuzote Mbowe anakopesha chama ila wakati mwingine anachukuwa pesa za chama kisha anakopesha chama.
 
Mbowe ni Chadema na Chadema ni Mbowe. Bila Mbowe hakuna Chadema na ushahidi ni ishu ya Lissu kugombea uwenyekiti.
Watu WANASHINDWA KUELEWA KUWA kiongozi wa chama KIKUU Cha upinzani anatakiwa awe fiti sana economically pamoja na msimamo mkali ili asiwe na bei elekezi.

CCM wanafurahia hii hali na Wananchi wajinga WANASHINDWA kujua kuwa tunahitaji upinzani imara ili nchi isonge.... Bila upinzani imara wezi serikalini wanaendelea kunyonya na mrija bila wasiwasi kuwa Kuna atakaewasanua Wananchi...

Sasa wajinga wanafurahia wakiona NCCR, TLP, CAF na hivi vyama vya akina Dovutwa na Mzee wa ubwabwa vikiwa dhaifu na wanataka CHADEMA nayo ielekee huko.

Kama mtu huna hela, hutafuti hela na huna mipango madhubuti ya kupata hela unaona ili Nini.??? Nani atamlisha mkeo??? Tundu lissu hajafika mahali pa kuweza kuendesha chama na anatumika na maadui kuibomoa chadema.
 
Kwani Haiwezekani kutenganisha wawekezaji wa ndani na nje ya chama na viongozi kuondoa conflict of interest?
 
No Mbowe is a blessing from God. Anajiweza kiuchumi na ana msimamo. SI rahisi kwa Africa kupata hiyo kwa mtu MMOJA.
Sasa unaeza Kuta ana hela ila anategemea kubebea na serikali kwenye biashara zake Au ana msimamo ila Hana hela so anakuwa na bei elekezi.
Chadema ilipofikia Mbowe kwa Sasa ndio njia na ndio jibu.
 
Watu WANASHINDWA KUELEWA KUWA kiongozi wa chama KIKUU Cha upinzani anatakiwa awe fiti sana economically pamoja na msimamo mkali ili asiwe na bei elekezi.

CCM wanafurahia hii hali na Wananchi wajinga WANASHINDWA kujua kuwa tunahitaji upinzani imara ili nchi isonge.... Bila upinzani imara wezi serikalini wanaendelea kunyonya na mrija bila wasiwasi kuwa Kuna atakaewasanua Wananchi...

Sasa wajinga wanafurahia wakiona NCCR, TLP, CAF na hivi vyama vya akina Dovutwa na Mzee wa ubwabwa vikiwa dhaifu na wanataka CHADEMA nayo ielekee huko.

Kama mtu huna hela, hutafuti hela na huna mipango madhubuti ya kupata hela unaona ili Nini.??? Nani atamlisha mkeo??? Tundu lissu hajafika mahali pa kuweza kuendesha chama na anatumika na maadui kuibomoa chadema.
Eti bei elekezi, mbona kila siku anaenda kuelekezwa Ikulu, usiwaone wabongo mafala.
CDM ilishajifia 2015 kilichobaki ni kikoba Cha kulamba ruzuku.
Hata kuwe na mabadiliko ya tume huru kwenye uchaguzi mkuu hamtoboi kamwe na hamtakaa mtoboe kwa sababu mnawaona wabongo wajinga kumbe wanawachora tuu.
 
Hellow!

Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama,

Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu.

Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt, ni pesa kiasi Gani angehitaji kulipwa zilizo kwenye maandishi Ili aachie chama kijiendeshe kitaasisi nje ya usimamizi wake?

Karibuni 🙏
Bilionare wa mitandaoni,tuonyesheni marejesho yake ya kodi hapa vinginevyo hamna mnachofanya zaidi ya uchwa uliopitiliza aisee,
 
Back
Top Bottom