Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
No Mbowe is a blessing from God. Anajiweza kiuchumi na ana msimamo. SI rahisi kwa Africa kupata hiyo kwa mtu MMOJA.
Sasa unaeza Kuta ana hela ila anategemea kubebea na serikali kwenye biashara zake Au ana msimamo ila Hana hela so anakuwa na bei elekezi.
Chadema ilipofikia Mbowe kwa Sasa ndio njia na ndio jibu.
Mawazo mfu sana haya aisee,Mbowe Kawa kama bigijii iliyoisha utamu,HANA MVUTO TENA!(yeye mwenyewe anajua hili)
Options ziko mbili tuuu,kumpa lissu uwenyekiti au CHADEMA ife kifo cha Mende!huko kwingine mtazunguka sana😋😋
God bless JMK.