Chama cha Familia na Wakwe......milele aminaaaaHellow!
Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama,
Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu.
Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt, ni pesa kiasi Gani angehitaji kulipa zilizo kwenye maandishi Ili aachie chama kijiendeshe kitaasisi nje ya usimamizi wake?
Karibuni 🙏
Kwamba mtoto wa Mbowe ndiye mrithi sahihi wa nafasi ya mkt CDM?Chama cha Familia na Wakwe......milele aminaaaa
CCM haya hayakuhusuMbowe ni Chadema na Chadema ni Mbowe. Bila Mbowe hakuna Chadema na ushahidi ni ishu ya Lissu kugombea uwenyekiti.
Ahahahahaha! Ila unataka mwakani kiingie madarakani kiniongoze? Ahahahahaha!!!CCM haya hayakuhusu
Ikiwa Mbowe anaidai CDM asemwe ni kiasi Gani alipwe.Machawa wa Mbowe wanajibu hoja za lisu kiboya sana
Billion 50 wewe na Lisu wako mnaweza kuzilipa?Ikiwa Mbowe anaidai CDM asemwe ni kiasi Gani alipwe.
Chadema kuna frusa nyingi sana na siyo kweli kuwa sikuzote Mbowe anakopesha chama ila wakati mwingine anachukuwa pesa za chama kisha anakopesha chama.Hellow!
Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama,
Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu.
Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt, ni pesa kiasi Gani angehitaji kulipwa zilizo kwenye maandishi Ili aachie chama kijiendeshe kitaasisi nje ya usimamizi wake?
Karibuni 🙏
Msajili wa vyama analieleewa hili?Billion 50 wewe na Lisu wako mnaweza kuzilipa?
Watu WANASHINDWA KUELEWA KUWA kiongozi wa chama KIKUU Cha upinzani anatakiwa awe fiti sana economically pamoja na msimamo mkali ili asiwe na bei elekezi.Mbowe ni Chadema na Chadema ni Mbowe. Bila Mbowe hakuna Chadema na ushahidi ni ishu ya Lissu kugombea uwenyekiti.
Kwani Haiwezekani kutenganisha wawekezaji wa ndani na nje ya chama na viongozi kuondoa conflict of interest?Watu WANASHINDWA KUELEWA KUWA kiongozi wa chama KIKUU Cha upinzani anatakiwa awe fiti sana economically pamoja na msimamo mkali ili asiwe na bei elekezi.
CCM wanafurahia hii hali na Wananchi wajinga WANASHINDWA kujua kuwa tunahitaji upinzani imara ili nchi isonge.... Bila upinzani imara wezi serikalini wanaendelea kunyonya na mrija bila wasiwasi kuwa Kuna atakaewasanua Wananchi...
Sasa wajinga wanafurahia wakiona NCCR, TLP, CAF na hivi vyama vya akina Dovutwa na Mzee wa ubwabwa vikiwa dhaifu na wanataka CHADEMA nayo ielekee huko.
Kama mtu huna hela, hutafuti hela na huna mipango madhubuti ya kupata hela unaona ili Nini.??? Nani atamlisha mkeo??? Tundu lissu hajafika mahali pa kuweza kuendesha chama na anatumika na maadui kuibomoa chadema.
No Mbowe is a blessing from God. Anajiweza kiuchumi na ana msimamo. SI rahisi kwa Africa kupata hiyo kwa mtu MMOJA.Kwani Haiwezekani kutenganisha wawekezaji wa ndani na nje ya chama na viongozi kuondoa conflict of interest?
LinafikirishaaaaaKwamba mtoto wa Mbowe ndiye mrithi sahihi wa nafasi ya mkt CDM?
Ni vyema aachiwe chama chake kiwe cha wachaga jumlaMbowe ni Chadema na Chadema ni Mbowe. Bila Mbowe hakuna Chadema na ushahidi ni ishu ya Lissu kugombea uwenyekiti.
Eti bei elekezi, mbona kila siku anaenda kuelekezwa Ikulu, usiwaone wabongo mafala.Watu WANASHINDWA KUELEWA KUWA kiongozi wa chama KIKUU Cha upinzani anatakiwa awe fiti sana economically pamoja na msimamo mkali ili asiwe na bei elekezi.
CCM wanafurahia hii hali na Wananchi wajinga WANASHINDWA kujua kuwa tunahitaji upinzani imara ili nchi isonge.... Bila upinzani imara wezi serikalini wanaendelea kunyonya na mrija bila wasiwasi kuwa Kuna atakaewasanua Wananchi...
Sasa wajinga wanafurahia wakiona NCCR, TLP, CAF na hivi vyama vya akina Dovutwa na Mzee wa ubwabwa vikiwa dhaifu na wanataka CHADEMA nayo ielekee huko.
Kama mtu huna hela, hutafuti hela na huna mipango madhubuti ya kupata hela unaona ili Nini.??? Nani atamlisha mkeo??? Tundu lissu hajafika mahali pa kuweza kuendesha chama na anatumika na maadui kuibomoa chadema.
Bilionare wa mitandaoni,tuonyesheni marejesho yake ya kodi hapa vinginevyo hamna mnachofanya zaidi ya uchwa uliopitiliza aisee,Hellow!