Bilionea Mbowe, amewekeza Bei Gani sisizo na maandishi CHADEMA?

Mawazo mfu sana haya aisee,Mbowe Kawa kama bigijii iliyoisha utamu,HANA MVUTO TENA!(yeye mwenyewe anajua hili)
Options ziko mbili tuuu,kumpa lissu uwenyekiti au CHADEMA ife kifo cha Mende!huko kwingine mtazunguka sana😋😋

God bless JMK.
 
Sawa. I can not expect a different reaction. Uweni Chadema ili iwatoke hio kitu.
 
Hivi kuna watu bado wanaichukulia Chadema seriously? Mara yangu ys mwisho kufuatilia mambo ya Chadema ilikuwa 2015.
kwahiyo tumaini lako liko Kwa ccm au nawe umemwachia mungu! sio muda wa kukatishana tamaa inatakiwa vijana tuwe na shauku ya kusonga mbele kama taifa! mfano mzuri tuangalie kiu ya vijana wakenya kuhusu masuala ya taifa lao wanavokuwa makini! sisi watanzania shida yetu ndo hiyo kukubali kila kitu tuuuu!??
 
We toka asubuhi hadi jioni unaishi na kushiba kwa chadema au kwa ccm? Mnawapa nguvu sana wanasiasa na vyama vya siasa kuliko inavyopaswa. Wanyanganye hizo power, take back your power kama raia.
 
Machawa wa Mbowe wanajibu hoja za lisu kiboya sana
Mbowe kawaingiza chaka hawako upande wenye hoja, mtu kawa mwenyekiti miaka 21 atakuwa na hoja gani mpya kukushawishi kwamba ana jipya tena la kuendeleza chama??.
Mbaya zaidi toka atoke jela kawa mlamba asali kalegea kwa Samia kama mlenda!.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 MBOWE Msanii sana, utafikiri hapokei mamilioni ya Ruzuku....na hafikishi majimboni na mikoani
 
Ingekuwa hivyo asingepokea Ruzuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…