TANZIA Bilionea Mustafa Sabodo afariki dunia

Taifa limepoteza mtu muingwana ,always Waislamu Huwa ni watu wema.

R.I.P Tajiri Sabodo,Umetumia vyema utajiri wako.
 
Kumbe kulikuwa na matajiri wakubwa alaf hamtuambiii sisi watoto wa 2000 mnatutajia kina moh na bakhresa
Nchi haiwezi kwenda bila matajiri sema Huwa wanawekewa mazingira Bora na mifumo.

Nchi kuwa na maskini watupu ni hasara.
 
Kichaa unacho cha kurithi toka kwa waliokuzaa ndio maana unaleta ujinga wako hapa unafikiri kila mtu ana muda nao.
Mkuu punguza kuchongoa domo.
Jamaa asije kukutomba buree.
 
Nchi haiwezi kwenda bila matajiri sema Huwa wanawekewa mazingira Bora na mifumo.

Nchi kuwa na maskini watupu ni hasara.
Sawa mkuuu basi hta mngekuwa mnamtajataja basi na sisi wa 2000 tuwe tunamsikia sio kila siku mnawataja kina lamba lamba na mnunuaji wa simba fc
 
Mungu amuweke pema. Kwa kweli katoa misaada mingi kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…