Bilionea namba Moja Uingereza athibitisha kutaka kuinunua Manchester United

Bilionea namba Moja Uingereza athibitisha kutaka kuinunua Manchester United

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Sir Jim Ratcliffe amekuwa mtu wa kwanza kutangaza nia yake hiyo tangu wamiliki wa sasa wa Manchester United (Familia ya Glazer) watangaze nia ya kuiuza klabu hiyo.

Ratcliffe ni shabiki wa Man United lakini ana tiketi ya msimu ya Chelsea, Klabu ambayo pia alitaka kuinunua Mwaka 2022 ikashindikana. Anatarajia kupata ushindi wa matajiri kutoka Marekani, Asia na Uarabuni ambapo kote kuna wafanyabiashara wenye mpango wa kuinunua United.

Familia ya Glazer ipo tayari kuiuza klabu hiyo kwa Paundi Bilioni 5.


+++++++++++


British billionaire Sir Jim Ratcliffe confirms he's bidding to buy Manchester United: Ineos formally enters the running to oust the Glazers

Sir Jim Ratcliffe has become the first bidder for Manchester United to formally throw his hat into the ring.

A spokesman for Ratcliffe, one of Britain’s richest men and a boyhood United fan, confirmed on Tuesday that his company Ineos is interested in buying the club, saying: ‘We have formally put ourselves into the process.’

Ratcliffe is expected to face rival interest from the United States, Asia and the Middle East after the Glazer family revealed their willingness to sell United following 17 years in power at Old Trafford.

The 70-year-old Ratcliffe, who tried to buy Chelsea before the Stamford Bridge club was taken over by a consortium led by Todd Boehly in May, met United co-chairmen Joel and Avram Glazer for formal talks last year.

The American owners, unpopular with the United fan base, want in excess of £5billion for the club but may also consider selling off a minority stake to an investor.

Bidders have to declare their interest in buying United with Raine, the investment bank acting as the club’s financial advisers, and formal offers are expected to be made next month.


Source: Daily Mail
 
Tumesema sie kama Manchester fans hatumtaki huyo ni Chelsea pure tunamjua
 
Mbona hela ya kuinunua man United ni hela ndogo sana. Hiyo hela hata GSM akiamua ananunua timu
 
Wale vipanga wa hisabati mtuambie hiyo ni shilingi ngapi kwa hela yetu ya madafu?
 
Na hizi sio pesa zake za kwenye account za mabenk, wanachukua jumla ya thamani ya kampuni zako, jumla ya rasilimali ulizonazo na matumizi yake pamoja na account zako za benk.
Na hizo fedha ni za Mzee Gulam babayake na MO, alizitafuta kabla MO hajazaliwa ila Kwa Sasa MO ni msimamizi tu wa biashara ni kama watoto wa Bareksa wanavyo simamia Biashara za Baba Yao.
 
Mbona hela ya kuinunua man United ni hela ndogo sana. Hiyo hela hata GSM akiamua ananunua timu
Mkuu Pauni Billion tano kwa bongo ni Tsh
14,405,000,000,000/= unasema hela ndogo kweli.?
 
Back
Top Bottom