Bilionea Saniniu Laizer achangia Tshs. Milioni 5 kwenye ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT)

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
YALIYOJIRI SIMANJIRO:
Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite nchini Tanzania, Saniniu Laizer amechangia Sh5 milioni za ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT) ili kuboresha utendaji kazi wa walimu.

Laizer maarufu bilionea Laizer ametoa fedha hizo Jumamosi Oktoba 30, 2021 kwenye semina ya walimu wawakilishi mahali pa kazi na kuendesha harambee iliyosaidia kupatikana Sh10 milioni.

Akizungumza baada ya kumkabidhi fedha hizo mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Simanjiro, Abraham Kisimbi, mfanyabiashara huyo amesema jamii ya kifugaji inatambua mchango mkubwa wa walimu.

"ili walimu mfanye kazi zenu kwa ufanisi mkubwa ninawachangia Sh5 milioni muweze kuendelea na ujenzi wa ofisi ya chama chenu," amesema Laizer.

Mwenyekiti wa CWT wilayani Simanjiro, Abraham Kisimbi amemshukuru Laizer kwa kuwaunga mkono kwenye ujenzi wa ofisi yao kwani hivi sasa wamepangisha kwenye jengo la CCM wilayani humo.

Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Manyara, Wenceslaus Leo amewaagiza viongozi wa CWT wa wilaya hiyo waanze ujenzi wa ofisi zao mara moja.

images - 2021-10-31T120649.356.jpeg
 
Aache ushamba, avae nguo nzuri na viatu vizuri sasa, na asaidie wamasai wenzake wanaopigwa baridi maporini huko kuliko kujifanya ana hela za kutoa misaada. lets be real, hivi laiza ni wa kutoa misaada? ukipita maporini huko vitoto vya kimasai vimepigwa baridi na jua hadi nnzi wanajaa kwenye macho, hawajapiga mswaki hawajaoga hawana maji, awachimbie visima vya maji wanyeshe hata ng'ombe tu, chakula ni cha shida....
 
aache ushamba, avae nguo nzuri na viatu vizuri sasa, na asaidie wamasai wenzake wanaopigwa baridi maporini huko kuliko kujifanya ana hela za kutoa misaada. lets be real, hivi laiza ni wa kutoa misaada? ukipita maporini huko vitoto vya kimasai vimepigwa baridi na jua hadi nnzi wanajaa kwenye macho, hawajapiga mswaki hawajaoga hawana maji, awachimbie visima vya maji wanyeshe hata ng'ombe tu, chakula ni cha shida....
Mpwa, Yale madini ilikua michezo ya ccm tu kutakatisha fedha
 
aache ushamba, avae nguo nzuri na viatu vizuri sasa, na asaidie wamasai wenzake wanaopigwa baridi maporini huko kuliko kujifanya ana hela za kutoa misaada. lets be real, hivi laiza ni wa kutoa misaada? ukipita maporini huko vitoto vya kimasai vimepigwa baridi na jua hadi nnzi wanajaa kwenye macho, hawajapiga mswaki hawajaoga hawana maji, awachimbie visima vya maji wanyeshe hata ng'ombe tu, chakula ni cha shida....
Hasira za nini yooo baba...
Pesa si yako nasi si zetuuu...
Chuki ya nini kati yako yeye na wewee...
Nasema laizer hana makosa eee mamaaa...
Hana makosa eee babaaa...
 
aache ushamba, avae nguo nzuri na viatu vizuri sasa, na asaidie wamasai wenzake wanaopigwa baridi maporini huko kuliko kujifanya ana hela za kutoa misaada. lets be real, hivi laiza ni wa kutoa misaada? ukipita maporini huko vitoto vya kimasai vimepigwa baridi na jua hadi nnzi wanajaa kwenye macho, hawajapiga mswaki hawajaoga hawana maji, awachimbie visima vya maji wanyeshe hata ng'ombe tu, chakula ni cha shida....
Kwaiyo mkuu unataka Laizer asaidie wamasai wote duniani??? Ebu fikirisha akili kabla yakujibu tajiri anasaidia taasisi Kama shule, Barabara, Hospital, kanisa, misikiti n.k sio kwenda maporini nakuanza kugawa fedha huko Laizer kasaidia wengi tu kama hujui kitu nibora kuwa kimya usipaniki
 
YALIYOJIRI SIMANJIRO:
Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite nchini Tanzania, Saniniu Laizer amechangia Sh5 milioni za ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT) ili kuboresha utendaji kazi wa walimu.

Laizer maarufu bilionea Laizer ametoa fedha hizo Jumamosi Oktoba 30, 2021 kwenye semina ya walimu wawakilishi mahali pa kazi na kuendesha harambee iliyosaidia kupatikana Sh10 milioni.
Vyama vya wafanyakazi nchi hii ni vyama vya kifisadi.

Yaani vinaumiza wafanyakazi kuliko hata Mwajiri ( serikali ).

Zaidi ya 60% ya watumishi wa serikali nchi hii ni walimu. CWT wanakata 2% ya mshahara kwa kila mfanyakazi kwa kila mwezi lakini eti bado kujenga ofisi tu mpaka wachangiwe.

Upuuzi mtupu.
 
Kwaiyo mkuu unataka Laizer asaidie wamasai wote duniani??? Ebu fikirisha akili kabla yakujibu tajiri anasaidia taasisi Kama shule, Barabara, Hospital, kanisa, misikiti n.k sio kwenda maporini nakuanza kugawa fedha huko Laizer kasaidia wengi tu kama hujui kitu nibora kuwa kimya usipaniki
unaonaje angechimba kisima wamasai wawe wanakunywa maji pamoja na ng'ombe sao? angefanya awareness wawe wanaoga na kupiga mswaki? wawe hawakeketi nyapu wa mabinti zao na waache kuishi maporini kama wanyama? anakuja kumsaidia mswahili hivi mimi mswahili nahitaji msaada gani kwa laizer, nahisi kama bado anahitaji msaada wangu kwa mwonekano wake tu kwasababu hakuna kilichobadilika tangu apate hela, bado ni masai yuleyule wa longido. siwabagui masai lakini hata mimi baada ya kutoka kijijini kwangu nimekuwa tofauti na wanakijiji wenzangu na wanaweza kuiga mfano wa civiliazation niliyo attain, anavaa malapa ya tairi yaleyale, vyakula vilevile,nguo zilezile..hela imemsaidia nini sasa?
 
aache ushamba, avae nguo nzuri na viatu vizuri sasa, na asaidie wamasai wenzake wanaopigwa baridi maporini huko kuliko kujifanya ana hela za kutoa misaada. lets be real, hivi laiza ni wa kutoa misaada? ukipita maporini huko vitoto vya kimasai vimepigwa baridi na jua hadi nnzi wanajaa kwenye macho, hawajapiga mswaki hawajaoga hawana maji, awachimbie visima vya maji wanyeshe hata ng'ombe tu, chakula ni cha shida....
Ukweli mchungu sana.
 
Moja ya koment za kijinga zaid kupata kutokea katika jamii forum
 
unaonaje angechimba kisima wamasai wawe wanakunywa maji pamoja na ng'ombe sao? angefanya awareness wawe wanaoga na kupiga mswaki? wawe hawakeketi nyapu wa mabinti zao na waache kuishi maporini kama wanyama? anakuja kumsaidia mswahili hivi mimi mswahili nahitaji msaada gani kwa laizer, nahisi kama bado anahitaji msaada wangu kwa mwonekano wake tu kwasababu hakuna kilichobadilika tangu apate hela, bado ni masai yuleyule wa longido. siwabagui masai lakini hata mimi baada ya kutoka kijijini kwangu nimekuwa tofauti na wanakijiji wenzangu na wanaweza kuiga mfano wa civiliazation niliyo attain, anavaa malapa ya tairi yaleyale, vyakula vilevile,nguo zilezile..hela imemsaidia nini sasa?
Kwa hiyo ulidhan laiza alikuwa kapuku mchunga ng'ombe then akakutana na tanzanite akapewa billion 7??huyo ni MTU aliyekuwa kwenye sekta ya madini kwa zaid ya miaka 17 na alikuwa anamiliki vitalu vya madini that's means he was financial stable
MTU ambaye alikuwa anakaa kwenye ghorofa unasema hujaona tofaut yake kipind hana pesa na ss hv???ulikuwa unamjua kipind hana pesa??
 
Uupuuzi mtupu CWT inahusiana vipi na ufanisi wa kazi kwa walimu,hyo hela ungeongezea kwenye ujenzi nyumba za walimu ndo ngekuona wa maana ila CWT??
 
Kwa hiyo ulidhan laiza alikuwa kapuku mchunga ng'ombe then akakutana na tanzanite akapewa billion 7??huyo ni MTU aliyekuwa kwenye sekta ya madini kwa zaid ya miaka 17 na alikuwa anamiliki vitalu vya madini that's means he was financial stable
MTU ambaye alikuwa anakaa kwenye ghorofa unasema hujaona tofaut yake kipind hana pesa na ss hv???ulikuwa unamjua kipind hana pesa??
nyumba/boma lake nalijua, ni la kawaida tu. ukweli uzungumzwe, ukipata hela unatakiwa kubadilisha maisha ule raha, sio kuishi maisha yaleyale ya longido.
 
Back
Top Bottom