Bilionea wa IPTL Seth Sing kuihamishia mitambo Burundi

Bilionea wa IPTL Seth Sing kuihamishia mitambo Burundi

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,403
Reaction score
4,373
Ni kwa mujibu wa gazeti la mtanzania amedai amekatishwa tamaa na amechoshwa na malumbano na akina Kafulila na genge lao.
 
Only in Tanzania! Upuuzi kama huu unaweza kutokea!! Mtu mmoja kibaraka kaweka serikali nzima mfukoni! Shame!
 
Hataitoa kwa misingi gani? Mitambo haitoki ni mali ya serikali,arudishe fedha zetu,kama kanunua kampuni ya IPTL iweje ile fedha ya escrow awagawie watu bure tu? Vyombo vya Usalama mkamateni huyo mshenzi habinder.
 
naona ameangalia upepo maana akienda kule itakuwa lahisi kuonga kwakua wanaongoza kwa rushwa hata hivyo bado hawaja hawajaendelea kivile anaona atavuna zaidi huko
 
Huyu mshenzi anapaza sauti kwasababu ya mshenzi mmoja pale Ikulu kumilikiwa kifisadi.

Huyu anapata platiform ya kupayuka kwasababu ya ushenzi wa kikwete. Alitakiwa kuwa selo mda mrefu tezi zimevimba

kwa interrogations nk.

Siku zake na pia za kikwete zinahesabika nawale wote wanaoshabikia ushenzi huu kitaeleweka miezi michache ijayo.
 
Mazee naona mnatukan tukana tu, hiyo bei ya umeme ikipanda ndo mtamkumbuka huyo singasinga. Alikuwa anatoza unit moja kwa senti chache nimesahau, rumours has ni cheapest price ya umeme in africa.
 
Hataitoa kwa misingi gani? Mitambo haitoki ni mali ya serikali,arudishe fedha zetu,kama kanunua kampuni ya IPTL iweje ile fedha ya escrow awagawie watu bure tu? Vyombo vya Usalama mkamateni huyo mshenzi habinder.

Mitambo unadai ni mali ya serikali!? unachekesha! sasa nani aliileta na kuifunga pale? Kama ni ya serikali kwa nini TANESCO bado inauziwa umeme huo!? kama ni ya serikali nani anawalipa wafanyakazi wa IPTL? Kiwanja ilipofungwa hapo tegeta ni mali ya nani? Hebu muwe na facts na sio jazba.
 
Mazee naona mnatukan tukana tu, hiyo bei ya umeme ikipanda ndo mtamkumbuka huyo singasinga. Alikuwa anatoza unit moja kwa senti chache nimesahau, rumours has ni cheapest price ya umeme in africa.

Hawajitambui hao.
 
Mazee naona mnatukan tukana tu, hiyo bei ya umeme ikipanda ndo mtamkumbuka huyo singasinga. Alikuwa anatoza unit moja kwa senti chache nimesahau, rumours has ni cheapest price ya umeme in africa.

Uko na point sana,ngoja bei ya umeme ipande watu waanze kumkumbuka seth
 
Mitambo unadai ni mali ya serikali!? unachekesha! sasa nani aliileta na kuifunga pale? Kama ni ya serikali kwa nini TANESCO bado inauziwa umeme huo!? kama ni ya serikali nani anawalipa wafanyakazi wa IPTL? Kiwanja ilipofungwa hapo tegeta ni mali ya nani? Hebu muwe na facts na sio jazba.

Na sio facts tuu pia inatakiwa wajue the whole issue wasiamini vya bungeni tuu
 
Watanzania tusiwe wajinga huyo Singasinga hana makosa, ataondoka Seth Singh atarudi mwengine kwa jina lengine, Serikali wenyewe inapotafuta mwekezaji inatafuta aliye mjanja wa kuweza kula nae,haiwezi hata siku moja kampuni safi inayofuata haki kupata kazi au kushinda Tenda.Tuna treni tunaambiwa inataka kujengwa Kwenda na kurudi Airpot inafaida saana na sisi, hivi hiyo reli itatusaidia nini sisi kama sio ulaji kwanini badala yake mwekezaji atafutwe wa kuwekekeza reli ya kwenda mikoani itasaidia kuleta abiria na kuboresha hali ya wananchi wanaofanya kila aina ya biashara.
Huyo singa kalazimishwa kuchukua hiyo pesa na kapewa hela yake halali,walokula hela ya umma ni hao waliogawana mapesa kwa viroba, ni wazi wamemwambia chukua halali yako sisi tuachie hizi kodi na malipo ya serikali tutashughulika nazo wewe usijali.

Tujiulize tunataka tuchukue kiwanda tumpe nani Tanesco, shirika ambalo linajiendesha kwa hasara kutokana na wizi wa wabilioni, hasara ambayo inabebwa na wananchi, hamuoni afadhali huyo singa kiwanda kinatupa umeme ila kisimamiwe vizuri na serikali, tukiwakabidhi Tanesco hata mwaka hakichukui kitakufa. Tujiulize tulikua na viwanda vingapi hapa nchini na sasa vipo wapi? Tumeshindwa kuviendesha na vikauzwa kiujanja ujanja kwa wawekezaji feki mpaka sasa hakuna kinachofanya kazi na mashine zimengolewa kupelekwa nje ya nchi wamebakisha majengo.

Bora tumuache huyo Singa yeye sio taizo, tatizo ni hawa waliochukua pesa na na wakawana na kula ndiyo wamechukua za Umma kodi zetu na malipo mengine, huyo singa kachukua kilicho chake.

Tusifanye mambo kwa jazba tatizo tunalo sisi siyo singa, ndiyo maana majanga kama haya yanajirudia. Ukiona mkeo anatembea nje,muue mkeo sio mwanaume kwasababu ukiua mwanaume,mke ataleta mwanaume mwengine utaua wangapi????
 
Mazee naona mnatukan tukana tu, hiyo bei ya umeme ikipanda ndo mtamkumbuka huyo singasinga. Alikuwa anatoza unit moja kwa senti chache nimesahau, rumours has ni cheapest price ya umeme in africa.

Are you sure with the cost of electricity? what about kenya

[h=5]SATURDAY, NOVEMBER 29, 2014[/h][h=1]Reduction in cost of electricity not uniform[/h]Tweet

3

Print

EL_PIX.jpg
Kenya Power Managing Director Ben Chumo (right) with Standard Chartered Bank Kenya and East Africa chief executive Lamin Majang during the signing of a loan agreement at Stima Plaza, Nairobi, on November 19, 2014. Mr Chumo said the drop in fuel price is due to the injection of geothermal power into the national grid. PHOTO | ANTHONY OMUYA | ANTION MEDIA GROUP
[h=3]In Summary[/h]
  • The variable cost is dependent on the price and amount of diesel and heavy fuel oil used in power generation. It is Sh3.47 per unit of electricity, down from Sh4.79 in October. It was Sh7.22 in August.
  • Domestic consumers using between 50 and 1,500 units a month were the biggest losers as the review saw the cost of their electricity increase by 17.73 per cent from Sh11.62 in June to Sh13.68 in July.

ADVERTISEMENT

karambu+pics.jpg
By IMMACULATE KARAMBU
More by this AuthorElectricity consumers got a reprieve this month through a 28 per cent decrease in the fuel cost on their bills.

However, this will not lead to a reduction in the overall bill as it includes other fixed and variable costs, data from Kenya Power indicate.

The variable cost is dependent on the price and amount of diesel and heavy fuel oil used in power generation. It is Sh3.47 per unit of electricity, down from Sh4.79 in October. It was Sh7.22 in August.

Kenya Power says the drop is due to the injection of geothermal power into the national grid which has reduced reliance on fuel-run generators.

"The fuel levy is a pass-through cost to the consumer. In some instances, it is higher than the cost of electricity. This cost has come down by 52 per cent this month," said Kenya Power Managing Director Ben Chumo.
 
Mitambo unadai ni mali ya serikali!? unachekesha! sasa nani aliileta na kuifunga pale? Kama ni ya serikali kwa nini TANESCO bado inauziwa umeme huo!? kama ni ya serikali nani anawalipa wafanyakazi wa IPTL? Kiwanja ilipofungwa hapo tegeta ni mali ya nani? Hebu muwe na facts na sio jazba.

Wewe unaishi wapi?!
Hujasikia maazimio ya bunge kwamba mitambo itaifishwe na iwe ya serikali!
 
Wewe unaishi wapi?!
Hujasikia maazimio ya bunge kwamba mitambo itaifishwe na iwe ya serikali!

Maazimio ndio mmiliki wa IPTL? mnataifisha mitambo kutoka kwa nani na ana makosa gani kwa mujibu wa ripoti ya PAC?
 
me nimesahau, fuatilia hiyo bei singasinga anachaji uone.
 
Back
Top Bottom