Bilionea wa IPTL Seth Sing kuihamishia mitambo Burundi

Watanzania tusiwe wajinga huyo Singasinga hana makosa, ataondoka Seth Singh atarudi mwengine kwa jina lengine, Serikali wenyewe inapotafuta mwekezaji inatafuta aliye mjanja wa kuweza kula nae,haiwezi hata siku moja kampuni safi inayofuata haki kupata kazi au kushinda Tenda.Tuna treni tunaambiwa inataka kujengwa Kwenda na kurudi Airpot inafaida saana na sisi, hivi hiyo reli itatusaidia nini sisi kama sio ulaji kwanini badala yake mwekezaji atafutwe wa kuwekekeza reli ya kwenda mikoani itasaidia kuleta abiria na kuboresha hali ya wananchi wanaofanya kila aina ya biashara.
Huyo singa kalazimishwa kuchukua hiyo pesa na kapewa hela yake halali,walokula hela ya umma ni hao waliogawana mapesa kwa viroba, ni wazi wamemwambia chukua halali yako sisi tuachie hizi kodi na malipo ya serikali tutashughulika nazo wewe usijali.

Tujiulize tunataka tuchukue kiwanda tumpe nani Tanesco, shirika ambalo linajiendesha kwa hasara kutokana na wizi wa wabilioni, hasara ambayo inabebwa na wananchi, hamuoni afadhali huyo singa kiwanda kinatupa umeme ila kisimamiwe vizuri na serikali, tukiwakabidhi Tanesco hata mwaka hakichukui kitakufa. Tujiulize tulikua na viwanda vingapi hapa nchini na sasa vipo wapi? Tumeshindwa kuviendesha na vikauzwa kiujanja ujanja kwa wawekezaji feki mpaka sasa hakuna kinachofanya kazi na mashine zimengolewa kupelekwa nje ya nchi wamebakisha majengo.

Bora tumuache huyo Singa yeye sio taizo, tatizo ni hawa waliochukua pesa na na wakawana na kula ndiyo wamechukua za Umma kodi zetu na malipo mengine, huyo singa kachukua kilicho chake.

Tusifanye mambo kwa jazba tatizo tunalo sisi siyo singa, ndiyo maana majanga kama haya yanajirudia. Ukiona mkeo anatembea nje,muue mkeo sio mwanaume kwasababu ukiua mwanaume,mke ataleta mwanaume mwengine utaua wangapi????

Mkuu,yote hayo umeyajulia wapi authoritatively?
 
kuna kaukweli ndani yake...na ukumbuke hawa waheshimiwa wanatafuta pesa za uchaguz....na wengine ndo wanajua prof ndo anaondoka hvyo ni mapigo ya mwisho!
"vyombo vya ulinzi ni ka vilipgwa ganzi"
 
Hataitoa kwa misingi gani? Mitambo haitoki ni mali ya serikali,arudishe fedha zetu,kama kanunua kampuni ya IPTL iweje ile fedha ya escrow awagawie watu bure tu? Vyombo vya Usalama mkamateni huyo mshenzi habinder.

Kamgawia Nan Bure? mbona tunapenda kukurupuka
 
Mazee naona mnatukan tukana tu, hiyo bei ya umeme ikipanda ndo mtamkumbuka huyo singasinga. Alikuwa anatoza unit moja kwa senti chache nimesahau, rumours has ni cheapest price ya umeme in africa.

Bora kuwa gizani kuliko kuibiwa kishenzi namna ile.
 
Ni kwa mujibu wa gazeti la mtanzania amedai amekatishwa tamaa na amechoshwa na malumbano na akina Kafulila na genge lao.
Hivi bado tu uhamiaji hawajamnyang'anya passport?
 
Ghost,nipe udhibitisho kua mitambo ni ya Seth

Si ndiye mwenye hisa asilimia 70 na Rugemalila ana asilimia 30 tu, hapo sasa sijui unataka uthibitisho gani! Haya na wewe nithibitishie kuwa mmiliki ni nani
 
Bora kuwa gizani kuliko kuibiwa kishenzi namna ile.

hukuwa umezaliwa wakati bwawa la kidatu na mtera yalipokauka na mateso tuliopata huyajui usingesema haya ili kukidhi malengo ya kisiasa ya watu fulani humu.
 
Tapeli tuu huyu,mara nimepata tenda kenya ya kuzalisha 400MW,mara december nitaiuzia tanesco umeme wa kwa senti 5
 
Mazee naona mnatukan tukana tu, hiyo bei ya umeme ikipanda ndo mtamkumbuka huyo singasinga. Alikuwa anatoza unit moja kwa senti chache nimesahau, rumours has ni cheapest price ya umeme in africa.
Frustration za maisha mkuu,wengine hata chai ya strungi ya mkono mmoja hawajaiona mpaka saa hii,unadhani ataacha kupost matusi kweli?.
 
Maazimio ndio mmiliki wa IPTL? mnataifisha mitambo kutoka kwa nani na ana makosa gani kwa mujibu wa ripoti ya PAC?

Kama una akili tumamu huwezi andika upuuzi kama huu. Soma hata magazeti ya nyuma uujue ukweli wa makosa yake.
 
Wewe unaishi wapi?!
Hujasikia maazimio ya bunge kwamba mitambo itaifishwe na iwe ya serikali!
Serikali iangalie uwezekano wa kuinunua mitambo ya iptl.

hilo ndo azimio.
wataifishe kwani huu ni mwaka 67?
 
Kama una akili tumamu huwezi andika upuuzi kama huu. Soma hata magazeti ya nyuma uujue ukweli wa makosa yake.
Kijana haya mambo hayaamliwi na magazeti ama forum za kwenye net.
kuna kitu sikuhizi kinaitwa mahakama kama walikua hawajakwambia.
 
Si ndiye mwenye hisa asilimia 70 na Rugemalila ana asilimia 30 tu, hapo sasa sijui unataka uthibitisho gani! Haya na wewe nithibitishie kuwa mmiliki ni nani

Documents za mauziano zilikua feki,CAG,PCCB,BRELA na TRA waliprove hivyo...

Bado hakuna ukweli wa kiamaandishi yasio ya fojari kua Mechmar kampa Piper Link na Piper Link kampa PAP...

Umiliki wake ni void kwasababu ya fojari

Bado kihalali mmiliki ni Mmalaysia na VIP
 
Wengi humu ni watoto, hawaijui hata historia ya IPTL

Kama kuna kijana asiyeijua historia ya IPTL na anashauku ya kuifahamu atafute gazeti la GUARDIAN la tarehe 7/12 imeandikwa kwa kirefu na mtu aitwae Brian!!
 
hukuwa umezaliwa wakati bwawa la kidatu na mtera yalipokauka na mateso tuliopata huyajui usingesema haya ili kukidhi malengo ya kisiasa ya watu fulani humu.

Nimekuwa wakati TANESCO wanafua umeme kutumia mitambo ya mafuta. Grid ya Taifa inajengwa naiona.
 
Back
Top Bottom