Bilionea wa Kiarabu azungumzia undugu haswa wanaoutaka na Israel

Bilionea wa Kiarabu azungumzia undugu haswa wanaoutaka na Israel

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
''Kila mtu anazungumzia na wengine humuuliza kuuliza jinsi waarabu watakavyofanya biashara na Waisrael au jinsi gani watafanyaje? Yeye amesema hapana sina mpango wa kufanya Biashara na Israel, tunaweza kwanza kukutana, kama wototo wetu wanaweza kukutana na watoto wenu! tunaweza kufahamiana kiundani umesoma nini unafanya vitu gani kimaisha unapendelea nini maishani yaani ndio lengo kubwa la huu mpango wa mahusinano ya nchi ya UAE na Israel, na sio kwa ajili ya Biashara.

Biashara zitakuja tu zenyewe bila kuzamilia'' Kitu kimoja cha ucheshi nilikuwa nazungumza na mtu mmoja wengu, nilimuambia siitaji kufanya biashara nahitaji kuonana na Mama yako na ninataka uje uonane na mama yangu tunaweza fanya hivyo kwanza? sawa sawa? Kama unataka kujua nini maana ya Amani?

Katika utamaduni wa Waislam au Waarabu unaenda kwenye nyumba ya Mama yao kwa heshima zote... huitaji kingine zaidi ya kumuona mama na na uhakika na kwa upande wa pili ni hivyo hivyo. Nawiwa zaidi ni huu muunganisho wa asili wa nindugu(Vijukuu vya Nabii Ibrahim) watu kufahamiana zaidi na watoto wetu wafahamiane na watoto wa Israel yaani tujenge muunganiko... sasa ukiniambia tofauti na hivyo unanipa woga kuhusu jambo hili''

Watu wengi hawajui kwa nini leo tunaona Israeli na nchi za kiarabu wananzisha mahusiano, Sababu ni Iran.

Leo Iran anaonekana ni adui yao mkubwa hivyo wameamua kuungana ili hapo baadaye kama kutatokea vita waweze kupambana naye kwa ushirika.
 
Sema Watataka Israel ipigane on behalf... wao wanapesa na hawataki usumbufu... they can hire anybody
 
Ingekuwa vema ufute hii comment kwa ustawi wa ustaarabu na ubora wa hekima
 
Wanatafuta njia ya kumdhoofisha MUIRAN.
Watu wengi hawajui kwa nini leo tunaona Israeli na nchi za kiarabu wananzisha mahusiano, Sababu ni Iran.

Leo Iran anaonekana ni adui yao mkubwa hivyo wameamua kuungana ili hapo baadaye kama kutatokea vita waweze kupambana naye kwa ushirika.
 
Sema Watataka Israel ipigane on behalf... wao wanapesa na hawataki usumbufu... they can hire anybody

Do you see my bottom line?? which reads:-

"----waweze kupambana naye kwa ushirika".
 
Ile aya inayosema mayaudi(wayaudi) ni maadui wa allah wameifuta au.
Sasa Aya za Allah zinaingiaje hapo! !wakati hayo ni maoni ya bilionea wa kiarabu kuhusu urafiki na wayahudi?
 
wanafunika kombe....maaa kuna aya inasema bora nguruwe kuliko mayahudi na makristo
Hizi lugha mbona za kawaida sana, Ata Yesu alisema huwezi kutoa chakula cha WATOTO na kuwatupia MBWA, sijajua unastaajabu kipi! !!
 
Ile aya inayosema mayaudi(wayaudi) ni maadui wa allah wameifuta au.
Kuna wakati nabaki kucheka tu..
[emoji23][emoji23].. upotoshaji Unakupa furaha ya moyo, et?
 
Back
Top Bottom