Bilionea wa Kiarabu azungumzia undugu haswa wanaoutaka na Israel

Siyo Iran mkuu. Ni kile kifungu kwenye bibilia takatifu UKIMBARIKI, KUMPENDA NA KUMUUNGA MKONO ISRAEL UTABARIKIWA KINYUME NA HAPO UTALAANIWA


Wewe, kumbuka kuna Israeli, nchi ya Israeli na wana wa Israeli, hivyo ni vitu vitatu tofauti vinavyohusiana sasa unapoandika jambo hili ni lazima uzingatia maana ya kila neno.

Israeli, nchi ya Israeli na wana wa Israeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…