Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kubali masharti ya pesa za ndumba upate magari kibao,nigeria uko ndio kwenyewe sasalocation aseeee, nitaenda kufukua,,sna hata mya nilipo hapa afu unasemajeee
basi nimeghairi,,wacha niendelee kua na boda wanguKubali masharti ya pesa za ndumba upate magari kibao,nigeria uko ndio kwenyewe sasa
Expensive car never expiresHii yazamani sana.
Hii yazamani sana.
Hamna bmw ya milioni 800Bilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti..
View attachment 3072841
Wanaina wana mbwembwe... Sema waarab kwenye mazishi hawana mnwembwe niliona kaburi la yule sijui alikuwa mfalme wa jordan alifariki mwaka jana sijui juzi yani kipande cha ardhi tu kama kawaida no mbwembwe wala kujengewaBilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti..
View attachment 3072841
Mfalme wa Kuwait.Wanaina wana mbwembwe... Sema waarab kwenye mazishi hawana mnwembwe niliona kaburi la yule sijui alikuwa mfalme wa jordan alifariki mwaka jana sijui juzi yani kipande cha ardhi tu kama kawaida no mbwembwe wala kujengewa
Unasemaje?Hamna bmw ya milioni 800
π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬, Inabidi ukifa ukatwe vipande Vipande, au toroli lina ukubwa gani. π€π€Ngoja niipake rangi hii toroli langu ili lianze kupendeza mapema tuuu
Umezoea BMW za bongo za milioni 22 jaribu kuangalia bei za BMW mpya za kisasa halafu ndio uje ukomentiHamna bmw ya milioni 800
Wataifukua hiyoBilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti..
View attachment 3072841