Bilionea wa Nigeria amzawadia Tayo $350,000 baada ya kushindwa kuzinyakua $300,000 za BBA Hotshot

Bilionea wa Nigeria amzawadia Tayo $350,000 baada ya kushindwa kuzinyakua $300,000 za BBA Hotshot

Tena Katoa Hta roho Haiumi Je mwnzngu Na Mie Hta ukitoa Buku kama Sadaka siku hyo utanung'unika kwel

Mwenyezi Mungu ni kitu kingine huwezi kucompare na huwa natoa kulingana na uwezo wangu
 
Hicho kijembe kwa idris.. ila mshindi wa bba atabaki kuwa mshindi tu hata angeshindania elf kumi.
 
Asilimia kubwa ya Wanaigeria hawana sehemu ya kulala, wanalala mabarabarani na chini ya madaraja, ni masikini wa kutupwa,

Mwenye wajibu wa kuwatengenezea mazingira bora ni selikali husika! Pesa ya mwanaume mwenzio sio yako! Yeye ndie bosi wa pesa yake. Una watoto wangapi wa mtaani unawasomesha? Au unasubiri na wewe uwe bilionea?
 
Hata apewe trillions, yeye si mshindi. Mshindi ni Idris hahahahaha
 
Ni juzi tu tulishuhudia ushindi wa kijana wetu idris ndani ya jumba la BBA akijinyakulia kitita cha dola 300000 na kuwaacha wenzake patupu hasa mshindi wa pili kutoka Nigeria mr R

Jamaa kahuzunika sana na akawa myonge ile mbaya sasa kilichonifanya nivute huu uzi hapa ni leo hii tajiri mmoja au bilionear wa kineigeria kaamua kumpa mshikaji ali aondokane na unyonge wa kutoka patupu kitita cha dola 350000 ni.zaidi ya kile cha kwenye mjengo hii sijui kama ingekua tz ingekuaje

Imewauma sana. Hawajui tu kuwa huu ni msimu wa Tanzania.
 
kama vipi si wangeanzisha shindano lao ili wapeanae hela wenyewe? Ina maana kwao dhani ya Ushindani ni kushinda tu na hakuna kushindwa? ila ni poa maana wameonyesha kujali vijana wao si sawa na hapa kwetu wanagawana mawaziri na wanasheria wa chama tawala tu. namuomba Ruge na yeye ajitokeze kumvunjia record bwana Tajiri wa Nigeria
 
mwenzie alishinda yeye kahurumiwa! akili ya biashara na ya kuvukia barabara zote akili lakini zinatofautiana.
 
Hata kama ni mshindi hela makes it better aiseee.
 
Dunia inajua mshindi wa BBA ni kutoka Tanzania mbona inaonekana Nigeria kuwauma sana inaonyesha hawakufurahia ushindi wetu hadi kuamua kutoa kiwango kile cha pesa hadi kushinda pesa waliyokuwa wanaipigania ndani ya jumba hilo.je kama wana uwezo huo basi waanzishe ya kwao ili wajitoe
 
mtoa mada yaani sikuelewi hata kidogo,yaani dah!ITS REALLY A RESULT OF BRN.I SUPPORT IT.
 
Back
Top Bottom