Tena Katoa Hta roho Haiumi Je mwnzngu Na Mie Hta ukitoa Buku kama Sadaka siku hyo utanung'unika kwel
Rugemalila mbona amumpi pongezi alitoa million 400 mchango wa harusi
mmmhhhh hela hazina kazi jamani
Asilimia kubwa ya Wanaigeria hawana sehemu ya kulala, wanalala mabarabarani na chini ya madaraja, ni masikini wa kutupwa,
ni kama kushow off,wanasahau ile ni tuzo inaweka historia na heshima tena africa lote.
Kuna watu wana hela jamani khaaa!!!
Ni juzi tu tulishuhudia ushindi wa kijana wetu idris ndani ya jumba la BBA akijinyakulia kitita cha dola 300000 na kuwaacha wenzake patupu hasa mshindi wa pili kutoka Nigeria mr R
Jamaa kahuzunika sana na akawa myonge ile mbaya sasa kilichonifanya nivute huu uzi hapa ni leo hii tajiri mmoja au bilionear wa kineigeria kaamua kumpa mshikaji ali aondokane na unyonge wa kutoka patupu kitita cha dola 350000 ni.zaidi ya kile cha kwenye mjengo hii sijui kama ingekua tz ingekuaje