Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

Ndugu Msanii ,hakuna uhusiano kati ya kuwa muadilifu na kuwa masikini.

Wengi tu ni waadilifu lakini Mungu amewajalia kutoka kwenye umasikini kihalali kabisa.


Kwa kweli ni ndugu Msanii 😆😆 wengi wanapenda kujificha kwenye kichała cha kusema Eti uadilifu kanakwamba walofanikiwa hadi wajukuu wote ni wezi ?! 😀😅
Mbavu kabisa!
 
vijana wachache sana ukilinganisha wa watu wanaoangamia kwa kukosa nguvu za kiume kwa kula kuku wa kisasa[sitaji kampuni], kwa kula ice cream,[sitaji kampuni], viriba tumbo kwa kula tambi za yule tajiri namba moja tanganyika,.kwa kukosa hamu ya tendo kutokana na wanawake wacheza muziki kukaa uchi hivyo libido za kiume kushuka , etc.

Vijana wangapi wanaangamia kwa ukimwi kwa kumuiga diamond kupiga kila demu anayekata kiuno kwenye shoo zake? umewahi kukemea hilo ama Diamond ni rol mode wa dada zako?

Kupanga ni kuchagua, dont drink and drive na bado kuna parking baa , hizo parking ni za magari ya wanywa juisi?​
Aise!
 
!
Hapana,
hakupaswa kiwa na only one stream of income (salary)
Alipaswa kujiongeza.
Alipaswa kuwa na multiple of streams of income.

Kuanzia Leo utaacha hiyo excuse wewe na yeye?! 😆😆
Kodi yenyewe inasimamiwa na Mwigulu ambaye kabla hajawa Kiongozi hakuwa anamiliki biashara yeyote....

Elewa mantiki😃
 
Back
Top Bottom