Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Ndugu Msanii ,hakuna uhusiano kati ya kuwa muadilifu na kuwa masikini.
Wengi tu ni waadilifu lakini Mungu amewajalia kutoka kwenye umasikini kihalali kabisa.
Ongea hoja za msingi buana? Wamelazimishwa kuzinywa?!L
Vijana wangapi wanaangamia kwa hizo pombe?
WAKIBOSHOBar maids sikupingi.
Ni wengi mno hasa bar za kuanzia ubungo mpaka manzese yote, wahudumu wengi ni wachaga.
Chaga ilikua zamani, sasa hivi vijana ni mlenda mlenda mno.
Sijui wakubwa zao hawawaoneshi njia za kupita au ni wabinafsi.
Aise!vijana wachache sana ukilinganisha wa watu wanaoangamia kwa kukosa nguvu za kiume kwa kula kuku wa kisasa[sitaji kampuni], kwa kula ice cream,[sitaji kampuni], viriba tumbo kwa kula tambi za yule tajiri namba moja tanganyika,.kwa kukosa hamu ya tendo kutokana na wanawake wacheza muziki kukaa uchi hivyo libido za kiume kushuka , etc.
Vijana wangapi wanaangamia kwa ukimwi kwa kumuiga diamond kupiga kila demu anayekata kiuno kwenye shoo zake? umewahi kukemea hilo ama Diamond ni rol mode wa dada zako?
Kupanga ni kuchagua, dont drink and drive na bado kuna parking baa , hizo parking ni za magari ya wanywa juisi?
Mkuu nimetoka kula nusu hapa. Ila kiukweli broiler ni ujinga sana. Sa hivi nimenona mpaka tako linatoka. Hakuna kashfa kubwa kama mwanaume uonekane una tako kubwa. Ngoja niache nianze tizi.Aise!
Kodi yenyewe inasimamiwa na Mwigulu ambaye kabla hajawa Kiongozi hakuwa anamiliki biashara yeyote....!
Hapana,
hakupaswa kiwa na only one stream of income (salary)
Alipaswa kujiongeza.
Alipaswa kuwa na multiple of streams of income.
Kuanzia Leo utaacha hiyo excuse wewe na yeye?! ๐๐