Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivyo viberiti na chumvi makasha yake yana picha za LukuviAisee, sasa kama mtu anapewa ulanzi, chumvi au kiberiti kisha yeye anatoa kura mtu kama huyu ukimueleza mambo ya katiba mpya ataanzia wapi kukuelewa ??!! CHADEMA inabidi mjitafakari sana kwenye agenda za vipaumbele vyenu ili mrudi kwenye ile nafasi yenu ya 'upinzani imara' na ikiwezekana muiondoe CCM madarakani
Yule Mungai wa awali alikuwa Waziri wa Elimu wa CCMMzee Mungai ni Mkikuyu. Alitumika sana na Wakenya kujua elimu Tanzania. Hadi leo watu wanasaka ilipo kaburi lake wacharaze viboko. Halafu mnatuletea vinasaba vyake. Chadema hamnazo kabisa
Kenya shule za serikali hazipo vizuri kihivyo shule bora Kenya ni zile za private tu.Mzee Mungai ni Mkikuyu. Alitumika sana na Wakenya kuua elimu Tanzania. Hadi leo watu wanasaka ilipo kaburi lake wacharaze viboko. Halafu mnatuletea vinasaba vyake. Chadema hamnazo kabisa
Zingatia muktadha wa maoniHivyo viberiti na chumvi makasha yake yana picha za Lukuvi
Uongo unadhalilisha sana, Mgombea wa Team Lissu alikuwa nani?Hongera Kwa Mbowe Kwa Ushindi wa Mungai team Mbowe na pole Kwa Lisu na team yake kushindwa kutwaa hicho kiti cha uenyekiti
Kwamba?Zingatia muktadha wa maoni
CHADEMA imara inakujaView attachment 2998370
Mungai Tajiri ambaye ni Mfanyabiashara mwenye Mafanikio Makubwa Wilaya Mafinga,Tanzania na Kimataifa, amechaguliwa tena kuongoza Chadema Mkoa wa Iringa...
mbona kama vile kulikua hakuna uchaguzi hapo kamanda 🐒View attachment 2998370
Mungai Tajiri ambaye ni Mfanyabiashara mwenye Mafanikio Makubwa Wilaya Mafinga,Tanzania na Kimataifa, amechaguliwa tena kuongoza Chadema Mkoa wa Iringa.
Huyu Jamaa ndio alishirikiana na Mchungaji Msigwa na Patrick Ole Sosopi kuua CCM Iringa yote, Safari hii ameahidi kumstaafisha siasa William Lukuvi, Rushwa ya Ulanzi, Viberiti na Chumvi haitapata nafasi msimu huu
Taarifa zaidi zinakuja
Nasikia upo kwa mganga umefungwa kamba!View attachment 2998370
Mungai Tajiri ambaye ni Mfanyabiashara mwenye Mafanikio Makubwa Wilaya Mafinga,Tanzania na Kimataifa, amechaguliwa tena kuongoza Chadema Mkoa wa Iringa.
Huyu Jamaa ndio alishirikiana na Mchungaji Msigwa na Patrick Ole Sosopi kuua CCM Iringa yote, Safari hii ameahidi kumstaafisha siasa William Lukuvi, Rushwa ya Ulanzi, Viberiti na Chumvi haitapata nafasi msimu huu
Taarifa zaidi zinakuja
Mwambie ukweli huyo pimbi!Wewe usiyevuta bangi umeshafanya nini cha maana kwa maisha yako na taifa?
Magu alivyokuja alipiga kazi balaa, Raia wote wakasadiki juu ya CCM kuwa ni chama Imara, sijui kwa sasa ila mzee baba alinyoosha ukweli na watu wakauamini
Mungai Tajiri ambaye ni Mfanyabiashara mwenye Mafanikio Makubwa Wilaya Mafinga,Tanzania na Kimataifa, amechaguliwa tena kuongoza Chadema Mkoa wa Iringa.
Huyu Jamaa ndio alishirikiana na Mchungaji Msigwa na Patrick Ole Sosopi kuua CCM Iringa yote, Safari hii ameahidi kumstaafisha siasa William Lukuvi, Rushwa ya Ulanzi, Viberiti na Chumvi haitapata nafasi msimu huu
Taarifa zaidi zinakuja
Mungu azidi kumtia nguvu na ujasili wa kuisambaratisha ccm.