Pre GE2025 Bilionea William Mungai ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa

Pre GE2025 Bilionea William Mungai ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aisee, sasa kama mtu anapewa ulanzi, chumvi au kiberiti kisha yeye anatoa kura mtu kama huyu ukimueleza mambo ya katiba mpya ataanzia wapi kukuelewa?

CHADEMA inabidi mjitafakari sana kwenye agenda za vipaumbele vyenu ili mrudi kwenye ile nafasi yenu ya 'upinzani imara' na ikiwezekana muiondoe CCM madarakani
Asante sana kwa ushauri mzuri sana kwa maendeleo ya CDM na taifa kwa ujumla
 
Huyu naye anachafua jina la ukoo wa Mungai, mijitu inayovuta bangi hovyo kabisa
Kwahiyo wewe unayevuta bangi siyo binadamu?
Au kwakuwa bangi ishakutoa akili unajiona upo sahihi?
 
Mzee Mungai ni Mkikuyu. Alitumika sana na Wakenya kuua elimu Tanzania. Hadi leo watu wanasaka ilipo kaburi lake wacharaze viboko. Halafu mnatuletea vinasaba vyake. Chadema hamnazo kabisa
Wewe na ukoo wa panya ndiyo hamnazo kabisa.
Sasa hapo unawezaje kuwatipia lawama CDM wakati serikali yenu ndiyo mnaajiri wahamiaji haramu?
 

Mungai Tajiri ambaye ni Mfanyabiashara mwenye Mafanikio Makubwa Wilaya Mafinga,Tanzania na Kimataifa, amechaguliwa tena kuongoza Chadema Mkoa wa Iringa.

Huyu Jamaa ndio alishirikiana na Mchungaji Msigwa na Patrick Ole Sosopi kuua CCM Iringa yote, Safari hii ameahidi kumstaafisha siasa William Lukuvi, Rushwa ya Ulanzi, Viberiti na Chumvi haitapata nafasi msimu huu

Taarifa zaidi zinakuja
Huyu tajiri alihonga shilingi ngapi kuupata huo uwenyekiti?
 
Lukuvi kwa heshima astaafu siasa za jimboni. Jimbo amuachie kijana wa chama chake wachuane na huyu mwenyekiti wa CHADEMA uchaguzi mkuu ujao.

CHADEMA kwa mwendo wao huo mpya watarudi bungeni kwa wingi wa rekodi mpya za kuchukua majiji na miji mikuu. Safari hii watembee sana mpaka vijijini iliko CCM
ubavu huo hawana chadema
 
Back
Top Bottom