Bilioni 20 alizotoa mwekezaji MO Dewji kwenye club ya simba ni changa la macho?

Nyie uto ndio mnajifanya kuhangaika na hizo b20 kuliko Simba?
Simba wanajua vema wanachokifanya hivyo acheni kudandia mbele biashara msiyoifahamu.
Endeleeni kushona madela.
 
Wanataka kujua benki iliyopokea hundi ya bilioni 20 kutoka kwa mwekezaji kanjanja 'Mo' kwanini inafanywa siri? Kitu gani kinafichwa?
Labda wanaogopa kuwa wakiitaja benki hela zitaibwaπŸ’
 
Naona msuko wa mudi kuweka lile bango simba ni kujitetea juu ya msimu unavyo kwenda kuwa wa ovyo kwa simba
 
Eti account ya bank na jina la bank tuliyoweka pesa za uwekezaji wa simba ni siri.Hahaha
Tapeli 'Mo' kawapiga mchana kweupe subiri ligi ichanganye kila kitu kitajulikana
 
Hawana majibu labda wataishia kunitukana tu ndicho wanachoweza
Acha wenge mkuu, zile pesa kabla hazijatoka walisema kabisa kuwa zitawekwa akaunti maalum then kitakachotumika sio zile pesa bali faida itakayotokana na zile fedha,
 
Zilitumika kwenye matumizi ule mwaka wa kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…