Bilioni 20 Zimewekwa kinyongee Utadhani hakuna kilicho tokea. Umuhimu wa Manara Upo

Ndio maana nasema haya umeshinda lakini watu wanapita Simba ilikuwepo na itaendelea kuwepo.
 
Kwanza hivi kwann anasema tu kiasi alichoweka Simba SC Kwa miaka 4 lkn hasemi Simba SC imeingiza kiasi gan kwa miaka 4.
Hii inaitwaje kitaalam ndugu zangu
Tumia akili na wewe. Mo au Viongozi/bodi ya Simba inawajibika kwa wanachama Sio kwa wachambuzi uchwara. Hayo maswali yatajibiwa ktk mkutano mkuu tena kwa audited report. Tuliza mshono
 
Alivyokuwa anawatukana wanahabari wewe si ulikuwa ni mmoja wapo ulikuwa unamsapoti pamoja na mashabiki wa Simba au umesahau?
 
Kwa sasa hawawezi kutambua yote hayo,ila ukitumia kiona mbali utaiona simba ikiandamwa na mgogoro mzito wa kimasirahi kutoka familia ya tajiri,

Wasio na pesa huwa wanatoa maoni mengi,walio na pesa wanatoa maamuzi mengi
 

Basi kunywa maji ya baridi utulize munkari, msio na pesa mnatoaga maoni mengi sana,walio na pesa wanatoa maamuzi mengi.
 

Unaandika maneno mengi sana yenye mpangilio wa sentences,lakini hakuna cha maana ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…