Bilioni 20 Zimewekwa kinyongee Utadhani hakuna kilicho tokea. Umuhimu wa Manara Upo

Bilioni 20 Zimewekwa kinyongee Utadhani hakuna kilicho tokea. Umuhimu wa Manara Upo

1)anaitumia kibiashara ni kweli lazima apate faida
2)51 si kitu hakuna mahali nimesema hivo
3)vikombe kidogo..hii ndio sole responsibility ya timu kwa mashabiki
4)long run..unabase predictions zako kwenye assumptions za upande mmoja na kulazimisha kua lazima itakua hivyo..je kama isipokua kama unavyowaza?je kama huu ndio mwanzo wa simba kuanza football monopoly??maana kwa sasa obviously hakuna timu yenye angalau kimfumo na usimamizi zaidi ya simba..cha msingi wawekeze kwa mashabiki tu sasa ili at one point Simba iweze kuzalisha faida bila kutegemea maingizo ya pesa za nje ili ikihitajika wafanye kuongeza uwekezaji tu ila sio kwamba ni lazima..na hii naomba hata kwa yanga ili soka liwe competitive
Ndio maana nasema haya umeshinda lakini watu wanapita Simba ilikuwepo na itaendelea kuwepo.
 
Kwanza hivi kwann anasema tu kiasi alichoweka Simba SC Kwa miaka 4 lkn hasemi Simba SC imeingiza kiasi gan kwa miaka 4.
Hii inaitwaje kitaalam ndugu zangu
Tumia akili na wewe. Mo au Viongozi/bodi ya Simba inawajibika kwa wanachama Sio kwa wachambuzi uchwara. Hayo maswali yatajibiwa ktk mkutano mkuu tena kwa audited report. Tuliza mshono
 
Kwa Wana Simba SC Wapumbavu wengi na mliojaa Uswahili mwingi ni lazima tu mtauona Umuhimu wa Mnafiki na Msaliti Haji Manara, ila kwa wana Simba SC makini, werevu na tunaojitambua vyema tumepongeza mno Simba SC kuachana rasmi na Haji Manara kwani alikuwa anaenda Kuiharibu kabisa 'Brand' ya Klabu na Kusababisha Migongano na Wadau hasa Wanahabari na Corporates mbalimbali nchini.
Alivyokuwa anawatukana wanahabari wewe si ulikuwa ni mmoja wapo ulikuwa unamsapoti pamoja na mashabiki wa Simba au umesahau?
 
Kwa sasa hawawezi kutambua yote hayo,ila ukitumia kiona mbali utaiona simba ikiandamwa na mgogoro mzito wa kimasirahi kutoka familia ya tajiri,

Wasio na pesa huwa wanatoa maoni mengi,walio na pesa wanatoa maamuzi mengi
 
Kitu wasichotaka kusikia Simba ukiwaambia Mo ni tapeli, ukiangalia mgogoro wa Haji Manara na madam CEO indirectly ni la mgongano wa kimaslahi kati ya Manara na Mo yaani Mo hataki Manara apige dili za matangazo yasiyo ya kampuni za Mo sasa unajiuliza je Manara ni mwajiriwa wa Simba au Mo interprises
Kwaiyo mkataba wa uwekezaji wa Mo na Simba ni wa kimangungo tu maana hakuna clear line kati ya Mo Kama mwekezaji na makampuni yake kwenye dili za udhamini na matangazo kiujumla Mo ndio anayefaidika zaidi na Simba kuliko Simba kufaidika zaidi ni suala la muda tu. Ogopa sana mwekezaji anayewekeza lakini anaacha mfumo wa utegemezi sio kuwezesha ili kujitegemea

Basi kunywa maji ya baridi utulize munkari, msio na pesa mnatoaga maoni mengi sana,walio na pesa wanatoa maamuzi mengi.
 
Kila kitu nimesema kwenye comment ya mwanzo.
Hebu niambie nini kinatenganisha Mo Kama mwekezaji wa Simba na Mo interprises kama wadhamini kimaslahi
Je kuondoka kwa Haji Manara ni coincidence au kuna kitu zaidi maana inaonekana alikua analazimishwa kupewa mkataba utakao mbana asifanye dili ambazo sio za kampuni za Mo sasa je Manara alikua ni mwajiriwa wa Simba au Mo interprises
Muda, je mkataba wa uwekezaji umezingatia muda na dhamani ya pesa(money time value) toka aliposign mpaka alipotoa hiyo 20b
Nguvu ya majority shareholdes kwa kuzingatia 51% ni ya Simba sports je mpaka sasa wanayonguvu ya maamuzi kuhusu Simba ukizingatia mwekezaji ndio mdhamini mkuu hauoni mgongano wa maslahi
Ukijibu hayo maswali utajua kuwa mjomba ni tapeli

Unaandika maneno mengi sana yenye mpangilio wa sentences,lakini hakuna cha maana ulichoandika.
 
Back
Top Bottom