Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
deleted
Je ni thread starter amefuta au ni moderation?? Nashauri futa kabisa tread ili wadau wasipoteze muda wa kuingia na kukuta kapa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
deleted
Wako busy na sheria ya uchaguzi na kuhakikisha hakuna mgombea huru kusimama kwenye uchaguzi ujao.Pengine pia na kuendelea na kudadisi wanywa pombe wanasema nini baada ya kulewa.
BoT watakuwa wanahusika kwa sababu walianzisha mfumo ambao kila transaction inayozidi Sh bilioni kumi ni lazima ipite kwao
Nchi inaelekea wapi??
I guess there is misrepresentation of facts katika habari hii, kwa ambao tuko informed, ukisoma habari nzima utagundua mapungufu mengi. zaidi.
Wapo bize wanachungulia JF tunaandika nini badala ya kulinda uchumi wa nchiTISS inafanya kazi gani?