Pre GE2025 Bilioni 42.166 kutumika matengenezo ya barabara mkoa wa Mara

Pre GE2025 Bilioni 42.166 kutumika matengenezo ya barabara mkoa wa Mara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Serikali imeidhinisha matengenezo ya barabara za Mkoa wa Mara kwa jumla ya shilingi Bilioni 42.166 kwa mwaka wa fedha 2024-2025.

Kauli hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi katika kikao cha bodi ya barabara mkoani humo ambapo amewataka watumishi wa taasisi zinazohusika na barabara kwenda kusimamia ipasavyo barabara hizo na kufanya matengenezo mapema yanapohotajika.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mtambi amesema yapo maeneo ambayo yamekuwa yakitokea hitilafu lakini matengenezo yake yamekuwa yakichukua muda mrefu hali inayopelekea msumbufu kwa watumiaji wa barabara.
 
Back
Top Bottom