Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MIRADI MIPYA YA MAJI JIMBO LA NGARA, KAGERA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza na kutoa Shilingi Bilioni 3 Jimbo la Ngara kwaajili ya kujenga miundombinu bora ya Maji Safi na Salama.
Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amesema Wananchi wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera wanamushukuru sana kwa kuendelea kuwaona kwani mpaka sasa Miradi 5 imesainiwa na Wakandarasi wapo njiani kufika Jimboni ili kuendelea na ujenzi.
#MajiMpakaVijijini