Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza hizi bilioni 50 zangu na wananchi wenzangu ziko wapi?
Inabidi tuulize mapema manake kuna kitu inaitwa "kilimo kwanza" ambayo inaweza pewa tafsiri isiyo rasmi = khanga na kofia za uchaguzi



at time it hard and deeply giving pain to read about this issue.
Jaribu uone mkuu, watakufunga kabla kesi haijapatiwa ushahidi wa kutosha.Kwa sasa kila Mtanzania mwenye nafasi ya kuiba na aibe! Ukikamatwa ingia mkataba wa kurudisha polepole!
Tumezoea kudanganywa.Wkt ikitangazwa na JK kwamba fmabilioni hayo yamerejeshwa tulitakiwa tuhoji ni akina nani hasa wamerejesha na fedha hizo zimetumika kiasi gani na kwa vipi.Tulikubari kirahisi tu kama ilivyo kawaida.Nchi yetu italiwa sijui hadi lini.
Hivi ninyi mlitegemea kitu gani tafauti? nashindwa kuwashangaa ati.