Bilioni 700 kutumika kuwahamisha wakazi wa Ngorongoro

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Serikali imebainisha kuwa wastani wa Sh700 bilioni zitaihitajika kuhamisha kaya 22,000 zilizoko eneo la hifadhi la Ngorongoro ikiwa wananchi wote watataka kuondoka ili kupisha ikolojia ya uhifadhi kwenye eneo hilo.

Naibu Kamishina wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Dk Christopher Timbuka mewaambia waandishi wa habari leo Julai 22,2022 jiji Dodoma wakati akizungumzia mpango wa uhamaji kwa hiyari unavyokwenda.

Dk Timbuka amesema kiasi hicho ni kikubwa lakini kwa namna ya umuhimu wa eneo hilo, fedha hizo ni ndogo na zinaweza kupatikana kwa muda mfupi kutoka kwenye eneo husika hasa kama shughuli za kibinadamu zitapungua.

Dk Timbuka amesema hadi kufikia Julai 18,2022, kaya 757 zenye idadi ya watu 4,344 na mifugo 8,276 zilikuwa zimejiandikisha kuhama kutoka Ngorongoro kwenda kijiji cha Msomemela wilaya ya Handeni ambako zoezi linaendelea hadi sasa.

Amesema idadi ya watu wanaohama katika eneo hilo wanaendelea kujiorodhesha kwa kasi ambayo hawakuitegemea, hivyo kuna kila haja ya kuongeza kasi ya ujenzi wa nyumba na miundombinu ya kuwapokea katika eneo hilo ambalo ni rafiki kwa shughuli za ufugaji na kilimo.

“Ni kweli gharama za kuhamisha watu ni kubwa, lakini mapato yanayotokana na eneo hilo na hasa yakishakuwa wazi yataongezeka zaidi kwa hiyo ni hali ya kawaida kabisa kwenye zoezi hili,” amesema Dk Timbuka.

CHANZO: MWANANCHI

TBC:
 
Nusu ya hiyo pesa itagawanwa na watawala, huo nao ni mradi kama miradi mingine watu watapiga pesa ndefu, kama wana hama kwa hiari hiyo budget ya kuwahamisha imetoka wapi na ilipitishwa na bunge lipi?
 
Kwa maslahi mapana ya Nchi Bora wawahamishe wote kwa awamu..

Ni Bora hiyo italeta tija kuliko kuweka Bil.700 kwenye daraja moja la Mwendazake kule Mwanza..

Pili pesa inayotumika kwa sensa mwaka huu ihamishiwe kwenye zoezi hili mwaka ujao.
....daraja moja la mwendazake" kwanini wewe na shangazi yako hamtaruhusiwa kupita pale?
 
Kilomita 80+ za barabara ya lami... Kama ingewekwa kwenye mafuta hakika walalahoi tungepata nafuu
 
Serikali imebainisha kuwa wastani wa Sh700 bilioni zitaihitajika kuhamisha kaya 22,000 zilizoko eneo la hifadhi la Ngorongoro ikiwa wananchi wote watataka kuondoka ili kupisha ikolojia ya uhifadhi kwenye eneo hilo.

Naibu Kamishina wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Dk Christopher Timbuka mewaambia waandishi wa habari leo Julai 22,2022 jiji Dodoma wakati akizungumzia mpango wa uhamaji kwa hiyari unavyokwenda.

Dk Timbuka amesema kiasi hicho ni kikubwa lakini kwa namna ya umuhimu wa eneo hilo, fedha hizo ni ndogo na zinaweza kupatikana kwa muda mfupi kutoka kwenye eneo husika hasa kama shughuli za kibinadamu zitapungua.

Dk Timbuka amesema hadi kufikia Julai 18,2022, kaya 757 zenye idadi ya watu 4,344 na mifugo 8,276 zilikuwa zimejiandikisha kuhama kutoka Ngorongoro kwenda kijiji cha Msomemela wilaya ya Handeni ambako zoezi linaendelea hadi sasa.

Amesema idadi ya watu wanaohama katika eneo hilo wanaendelea kujiorodhesha kwa kasi ambayo hawakuitegemea, hivyo kuna kila haja ya kuongeza kasi ya ujenzi wa nyumba na miundombinu ya kuwapokea katika eneo hilo ambalo ni rafiki kwa shughuli za ufugaji na kilimo.

“Ni kweli gharama za kuhamisha watu ni kubwa, lakini mapato yanayotokana na eneo hilo na hasa yakishakuwa wazi yataongezeka zaidi kwa hiyo ni hali ya kawaida kabisa kwenye zoezi hili,” amesema Dk Timbuka.

CHANZO: MWANANCHI

TBC:
Upigaji wa Amina yake MPYA
 
Wamassai kiuchumi ni jamii ambayo in cost sana nchi. Kipesa, hawasomeshi watoto na wanaharibu mazingira sana.
 
Back
Top Bottom