Bilioni 700 kutumika kuwahamisha wakazi wa Ngorongoro

Bilioni 700 kutumika kuwahamisha wakazi wa Ngorongoro

Kupanga ni kuchagua hizo bilioni 700 zinaweza kujenga kilometa 700 za lami...duh priority yetu ni nini?
 
Kilomita 80+ za barabara ya lami... Kama ingewekwa kwenye mafuta hakika walalahoi tungepata nafuu
Hivi unafahamu faida ya uhifadhi? Kwa ongezeko la watu na mifugo , siku moja kizazi kijacho kinaweza kutulaani.
 
Nusu ya hiyo pesa itagawanwa na watawala, huo nao ni mradi kama miradi mingine watu watapiga pesa ndefu, kama wana hama kwa hiari hiyo budget ya kuwahamisha imetoka wapi na ilipitishwa na bunge lipi?
Swali la msingi sana hili. Hawa jamaa siku ya kulipa itakapofikia wasijesema wanaonewa sababu watalipa every dime wanayochukua.
 
Back
Top Bottom