LUS0MYA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 866 Reaction score 1,109 Jul 23, 2022 #21 Kupanga ni kuchagua hizo bilioni 700 zinaweza kujenga kilometa 700 za lami...duh priority yetu ni nini?
Kupanga ni kuchagua hizo bilioni 700 zinaweza kujenga kilometa 700 za lami...duh priority yetu ni nini?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jul 23, 2022 #22 Mmh Ova
U umucyo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2020 Posts 847 Reaction score 714 Jul 23, 2022 #23 chapwa24 said: yaani serikali inapoteza pesa zote hizo kwa masai? Click to expand... Umesema!!!!!
U umucyo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2020 Posts 847 Reaction score 714 Jul 23, 2022 #24 Mantodo said: Kilomita 80+ za barabara ya lami... Kama ingewekwa kwenye mafuta hakika walalahoi tungepata nafuu Click to expand... Hivi unafahamu faida ya uhifadhi? Kwa ongezeko la watu na mifugo , siku moja kizazi kijacho kinaweza kutulaani.
Mantodo said: Kilomita 80+ za barabara ya lami... Kama ingewekwa kwenye mafuta hakika walalahoi tungepata nafuu Click to expand... Hivi unafahamu faida ya uhifadhi? Kwa ongezeko la watu na mifugo , siku moja kizazi kijacho kinaweza kutulaani.
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,225 Reaction score 5,258 Jul 23, 2022 #25 Acha utani. B700? Wastani wa milioni 30 kila kaya!!
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Jul 23, 2022 #26 Bejamini Netanyahu said: Nusu ya hiyo pesa itagawanwa na watawala, huo nao ni mradi kama miradi mingine watu watapiga pesa ndefu, kama wana hama kwa hiari hiyo budget ya kuwahamisha imetoka wapi na ilipitishwa na bunge lipi? Click to expand... Swali la msingi sana hili. Hawa jamaa siku ya kulipa itakapofikia wasijesema wanaonewa sababu watalipa every dime wanayochukua.
Bejamini Netanyahu said: Nusu ya hiyo pesa itagawanwa na watawala, huo nao ni mradi kama miradi mingine watu watapiga pesa ndefu, kama wana hama kwa hiari hiyo budget ya kuwahamisha imetoka wapi na ilipitishwa na bunge lipi? Click to expand... Swali la msingi sana hili. Hawa jamaa siku ya kulipa itakapofikia wasijesema wanaonewa sababu watalipa every dime wanayochukua.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 24, 2022 #27 Samcezar said: Swali la msingi sana hili. Hawa jamaa siku ya kulipa itakapofikia wasijesema wanaonewa sababu watalipa every dime wanayochukua. Click to expand... Hii nchi imejaa matapeli tupu
Samcezar said: Swali la msingi sana hili. Hawa jamaa siku ya kulipa itakapofikia wasijesema wanaonewa sababu watalipa every dime wanayochukua. Click to expand... Hii nchi imejaa matapeli tupu