Bilioni 82 zimetumika kwa ajili ya mikopo kwa wanawake, watoto na wenye ulemavu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Zaidi ya Tsh. Bilioni 82 zimetumika kwa ajili ya mikopo ya asilimia kumi ya Wanawake, watoto na wenye ulemavu

Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo
ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni
Bilioni 22.3 ambayo vikundi vya wanawake walipata 4%,
vijana 4% na watu wenye ulemavu walipata 2%

Mwaka 2025 mikopo hiyo imeongezeka zaidi ya mara tatu na kufikia jumla ya bolioni 82.84 ikiwa ni ongezeko la shilingi bilioni 60.54 sawa na 271%. Katika fedha hizo, bilioni 40.71 zimetolewa kwa vikundi vya wanawake, bilionj 36.64 kwa vikundi vya vijana na bilioni 5.48 kwa vikundi vya watu wa ulemavu

Kupitia mikopo hii ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu imewasaidia kuanzisha shughuli mbalimbali za uzalishaji mali ambazo zimewakwamua kiuchumi

BILLIIIIIIIIIIIII.png

Chanzo: Clouds Tv
 
Na wengi wao waliokopa wanasemwa wamekufa!
 
Takwimu za jumla jumla hizi kama mnaongea na chawa wenu, mkome!

Sio kwamba hamjafanya vizuri, la! Mmefanya mengi tu ambayo WAFAIDIKA wanayatafsiri kuwa ni MAZURI, miongoni mwao ni CHAWA.

Sasa, kama mmeweza kuita KATIBA kijitabu, UTEKAJI na UUAJI kuwa, "Kifo ni kifo tu", kipi kilichobaki mnachoogopa kusema maeneo mliofanya vizuri?
  • Uuzwaji wa maliasili
  • Uamishwaji wa wazawa
  • Ukwapuaji wa fedha za umma
  • Ukiukwaji wa Haki na Sheria
  • Ukolonoaji wa Tanganyika
  • Udidimizwaji wa huduma za kijamii
  • Uzamishwaji wa shilingi

Huko kote mmefanya vizuri, tembeeni humo!
 
Back
Top Bottom