Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
unaijua billion vizuri wewe.?Hiyo hela ukigawanya kwa timu kwa mwezi ni km mshahara labda wa Kagere tu kila mwezi.
unaijua billion vizuri wewe.?
Vodacom wamerudi tena, vipi serikali wameachan na ule mpango wao wa kutaka ligi iitwe TVPL badala ya VPL?
Namuona Karia akifurahi kwa mbaali.
Huu mgawanyo wa 3B kwa timu 20 ngoja nipige hesabu zangu.
Dah voda watapandisha vifurushi zaidi
Daah aisee [emoji1]
Kila timu 150MNamuona Karia akifurahi kwa mbaali.
Huu mgawanyo wa 3B kwa timu 20 ngoja nipige hesabu zangu.
Kila timu 150M
Haiko hivyoKila timu 150M
Dah ... π πHaiko hivyo
Kuna mshindi wa ligi anapewa zaidi ya wenzake
Mchezaji bora
Kamati
Matangazo etc
Hata milioni 100 hawataipata