BILIONI 9 ZAMWAGWA LIGI KUU

BILIONI 9 ZAMWAGWA LIGI KUU

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
938
Reaction score
1,150
LIGI KUU YAPATA MDHAMINI:
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom wamesaini Mkataba wa miaka 3 wa Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mkataba huo unathamani ya shilingi bilioni 9 ambapo kila mwaka shilingi bilioni 3.

Je hii itaongeza ushindani?
20190823_215405.jpeg
 
Kwa msimu b3 sio? Hapo tff inazuia b1 kwa ajili ya usimamizi na zawadi. B nyingine inapigwa na wajanja nje ya soon. Then inayobaki ndio inaenda kwenye timu
 
Vodacom wamerudi tena, vipi serikali wameachan na ule mpango wao wa kutaka ligi iitwe TVPL badala ya VPL?
 
Back
Top Bottom