Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Kabaka peke yake ila khabari tumepata nusu ya dunia ufedhuli mwisho wake mbaya umri huo bado anafanya mambo ya U12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mtu si alikua na uwezo wa kupata wanawake anaowataka kwa ushawishi wa fedha na kipaji chake sasa ikawaje tena?.
Wasio maarufu hata wakifungwa wao siyo habari. Mtu maarufu akitangazwa anavutia wengiKwa nini kesi za aina hii zinawapata watu maarufu tu, refer kesi ya The late Michael Jackson (Child molestation) miaka ya tisini mwishoni.
Sana walahiHuyu Mzee ana mwisho mbaya
TrueKama alikuwa anafanya UFIRAUNI afungwe tu tena hata NYUNDO/MVUA 20 hizo MVUA 3-10 CHACHE SANA.
Ile kesi ilimmaliza Michael, baada ya pale he was never the same again.Kwa nini kesi za aina hii zinawapata watu maarufu tu, refer kesi ya The late Michael Jackson (Child molestation) miaka ya tisini mwishoni.
Rolf Harris ni mzungu nae ana kashfa kubwa zaidi ya huyu na alifanya haya hayaKwani we akili ya mtu mweusi unaielewa vipi? Wala hupaswi kuishangaa
Kwasababu BLACKS ni Washamba sana hasa wakipata hela huzuzuka na kufanya mambo ya ajabu.kwanini ni blacks maarufu tu ndo wanakutwa na haya madhila
BILL
MICHAEL
R.KELLY
...............
Nimeona sehemu watu wanasema ni mtego tu amesingiziwa kwa kua ni mtu mweusi na alikua anataka kunnua TV station aimiliki ndo wamemkomesha