Bill Cosby afungwa jela miaka 3 hadi miaka 10 kwa unyanyasaji wa kingono

Kabaka peke yake ila khabari tumepata nusu ya dunia ufedhuli mwisho wake mbaya umri huo bado anafanya mambo ya U12
 
Aiseehh!wenzetu wako serious kweli bongo ukiwa maarufu hufungwi
 
Kwa nini kesi za aina hii zinawapata watu maarufu tu, refer kesi ya The late Michael Jackson (Child molestation) miaka ya tisini mwishoni.
Wasio maarufu hata wakifungwa wao siyo habari. Mtu maarufu akitangazwa anavutia wengi
 
Huyu Mzee ana mwisho mbaya
Sana walahi
Duh sad!
Amevuna aliyo yapanda walahi
Starehe ya sekunde imem cost maisha yake yote walahi
Ehhh Mola wangu tuepushe walahi
 
kwanini ni blacks maarufu tu ndo wanakutwa na haya madhila
BILL
MICHAEL
R.KELLY
...............
 
Kwani we akili ya mtu mweusi unaielewa vipi? Wala hupaswi kuishangaa
Rolf Harris ni mzungu nae ana kashfa kubwa zaidi ya huyu na alifanya haya haya
Haijalishi ni mweusi wala mweupe na afadhali kidogo weusi hawana kashfa nyingi kama whites
Huyu mzee Harris miaka 88
 
Ukiwa mweusi na una mafanikio pamoja na great level of consciousness lazma uonje sero ndo maisha yalivyo kwa trump
 
Nimeona sehemu watu wanasema ni mtego tu amesingiziwa kwa kua ni mtu mweusi na alikua anataka kunnua TV station aimiliki ndo wamemkomesha
 
Ma black Nigga sijui kwanini wasirudi nyumbani africa,

Huyu huenda akawa hana hatia, ukiisoma historia ya Le Mutuz, LIFE EXP OF AMERIKA utaelewa kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…