Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Kama ilivyoripotiwa hivi karibuni kuhusu Msanii wa Marekani, Bill Cosby, amekumbwa na kashfa nyingi sana za ubakaji zilizoibuliwa hivi sasa, wengi waliobakwa wanasema walifanyiwa hivyo miaka mingi iliyopita lakini kila kitu kimekuja kuibuliwa sasa hivi, tayari Bill Cosby ameshanyang'anywa/ vuliwa nishani nyingi alizopewa kwa umahiri wake, na wengine wanamtaka hata rais Obama pia amvue nishani kubwa zaidi, sasa ni kwa nini?
Na kwa nini sasa hivi? Hao wanawake waliobakwa miaka 20 mpaka 30 iliyopita walikuwa wapi siku zote hizo?
Binafsi, naamini kabisa hapa lazima kuna kitu huyu Bw.Cosby kakosea mahali, siyo bure lazima kuna kitu!